IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

Niliposoma hii habari kwenye magazeti ilinishtua. Duh! Kumbe kweli watu walikwapua shekeli hata kama walitaka kuzipiga bungeni na kuwaita wenzao tumbili? We still have a long way to go.
ila mkuu ebu jaribu kujiuliza kitu kimoja kwa nini hii issue kaikomalia kafalila tu wakati wabunge wa upinzani wapo wengi kama vile mnyika ,lema,mbowe mbona wapo kimya naomba jibu
 
Dar es Salaam. It is now official. Development partners (DPs) have not released even a single dollar out of the $558 million (Sh937 billion), that had been pledged to boost Tanzania’s 2014/15 Budget. They will only give it out upon seeing—and being satisfied with—the outcome of the investigations into the controversial payments of Independent Power Tanzania Limited (IPTL) escrow monies to Pan Africa Power Solutions Tanzania Limited (PAP).

The DPs chairperson, Finnish Ambassador to Tanzania Sinikka Antila, yesterday confirmed to The Citizen that the nearly Sh1 trillion, which was meant to support the country’s 2014/15 general budget, has been suspended pending the release of the IPTL probe reports.

Ms Antila told this paper that the donor community was concerned over how the escrow monies were paid to the company that claims to have bought 70 per cent shares of IPTL, which were held by a Malaysian firm, Mechmar Berhad Corporation.

The donors, said the Finland ambassador, would for the time being wait for the final CAG report before making any categorical commitment to support the national budget.

“Budget support development partners in Tanzania take the emerging IPTL case with the utmost seriousness and are carefully monitoring its development as the case involves large amounts of public funds,” she said.

“We meet with the government regularly to discuss budget support issues,” said Ms Antila.

According to Ms Antila, in March 2014, firm commitments for budget support in the financial year 2014/15, worth $558 million, were communicated to the government with the caveat that releases would be informed by developments in relation to the IPTL case.

She said the DPs’ contribution to the budget finances stands at approximately five per cent of the national public expenditure programme.

“Development partners are now awaiting the CAG report and information about its key findings, as well as a response from government, which will determine our decisions on further disbursements,” said the envoy.

On Sunday, the Kigoma South MP, Mr David Kafulila (NCCR-Mageuzi), told reporters that donors, especially those in EU countries, were withholding funds meant to support the 2014/15 Budget pending the release of the two probe reports on the $250 million in escrow monies, part of which was paid directly to Pan Africa Power Solutions Tanzania Ltd (PAP) after the company claimed it has bought 70 per cent shares in Independent Power Tanzania Limited (IPTL). “If the government fails to take serious measures against the culprits, its obvious donors will not release funds,” he said,

Earlier this year, Mr Kafulila took the matter to Parliament following an expose of the multibillion scandal by The Citizen newspaper.

The MP further threatened that if the government fails to release the two reports, he would move a motion of no-confidence against either Prime Minister Mizengo Pinda—who also defended the deal before the House—or the President.

The Citizen 8/10/14

Hii ni habari njema lakini hatuweza kubeba hii habari na kuipotosha kwa umma kwamba kwa sababu donors wanataka uthibitisho wa matumizi mazuri ya pesa zao ndio iwe uthibitisho kuwa kuna wizi au ufisadi hapana maana hii ndio theory kafulila anayojaribu kuijenga, hapana huo ni upotoshaji mkubwa. Donors kama ilivyofanya serikali imemsikilza Kafulila na imefanyia kazi kwa kuanzisha uchunguzi kwa kutumia vyombo vyake ambavyo ni PCCB na CAG. Na DONORS wanasubiri findings za hiyo ripoti na hatua zitazo chukuliwa. TUSIPOTOSHE UMMA, DONORS KUSUBILI RIPOTI HAKUMAANISHI KUWA KUNA UNAUFISADI LAKINI KWA KUWA KUNA KELELE ZA KAFULILA BASI LAZIMA WAFANYIE KAZI KAMA ILIVYOFANYA SERIKALI. TUMSHUKURU KAFULILA KWA HILI ILA TUKUMBUKE MWISHO WA SIKU HUU UCHELEWESHAJI WA UTEKELEZAJI UMELETWA NA KAFULILA KWAHYO WANACHI TUJIANDAE ADHABU YA KUMPA KAFULILA KWA KUTUCHELEWESHEA UTEKELEZAJI WA BAJETI.
 
Antmatter

Kote DUNIANI hii inafanyika hata ningekuwa mimi ningesubiri kujiridisha kabla ya kutoa pesa yangu. TUSIPOTOSHE UMMA KAMA KAFULILA ANAVYOTAKA, DONORS KUSUBILI RIPOTI HAWAJAIHUKUMU NCHI KWAMBA KUNA UFISADI, HAWA NI WATU MAKINI LAZIMA WASUBIRI UCHUNGUZI KUTOKANA NA KELELE ZA KAFULILA. KWAHYO KAFULILA AMEFULAHI SASA KWAKUWA NCHI IMEKOSA FEDHA ZA UTEKELEZAJI WA BAJETI KWA WAKATI?? AMEFURAHI MAANA KILA MARA HUWA ANATUTAMBIA KUWA DONORS WAMESITISHA MISAADA.
Barua waliyoandika wakina kafulila imepata majibu sasa;

""Hopefully, after having read through the material that I have herewith attached, you will be kind enough to do me some favor – through your good offices in the Folketinget, as well as via your close colleagues in RV and other venues in the Nordic countries and elsewhere – in terms of reaching out to sympathetic ears; and thereby mobilizing some decisive opinion and advocacy that may in various ways not only better advance human rights and civil liberty advocacy in my country but also actually further encourage our as yet relatively few really courageously patriotic Members of Parliament.""

In Case You Didn't Know – A Letter Worthy Reading | Tegeta Escrow Scandal

Last edited by a moderator:

yaa kweli kaka umeongea point sana watu wanataka kuuongopea umma kwa viini macho vyao watashindwa sana mwaka huu
 
Kote DUNIANI hii inafanyika hata ningekuwa mimi ningesubiri kujiridisha kabla ya kutoa pesa yangu. TUSIPOTOSHE UMMA KAMA KAFULILA ANAVYOTAKA, DONORS KUSUBILI RIPOTI HAWAJAIHUKUMU NCHI KWAMBA KUNA UFISADI, HAWA NI WATU MAKINI LAZIMA WASUBIRI UCHUNGUZI KUTOKANA NA KELELE ZA KAFULILA. KWAHYO KAFULILA AMEFULAHI SASA KWAKUWA NCHI IMEKOSA FEDHA ZA UTEKELEZAJI WA BAJETI KWA WAKATI?? AMEFURAHI MAANA KILA MARA HUWA ANATUTAMBIA KUWA DONORS WAMESITISHA MISAADA.
Barua waliyoandika wakina kafulila imepata majibu sasa;

""Hopefully, after having read through the material that I have herewith attached, you will be kind enough to do me some favor – through your good offices in the Folketinget, as well as via your close colleagues in RV and other venues in the Nordic countries and elsewhere – in terms of reaching out to sympathetic ears; and thereby mobilizing some decisive opinion and advocacy that may in various ways not only better advance human rights and civil liberty advocacy in my country but also actually further encourage our as yet relatively few really courageously patriotic Members of Parliament.""

In Case You Didn't Know – A Letter Worthy Reading | Tegeta Escrow Scandal

kweli kabisa kaka umeongea kitu hapo
 
Kafulila atakoma kuingilia mambo ya kampuni binafsi, hivi kwani hawezi kupigania viwanda vya mawese vinavyoendela kufilisika kila siku huko kigoma badala ya kuingilia kampuni ambayo iko pale kisheria

Only in Tanzania Mbunge anaweza kutumia kinga ya mbunge vibaya kuchafua kampuni binafsi kwa kulipwa na watu wenye fedha na chuki dhidi ya makampuni binafsi

Bora wamtore uvivu maana kazidi sana kutumika

wala hamna haya kupoteza muda kumpuuza kafulila,wabunge wenzake wameshamdharau kwa kupokea hongo,hana support ya mmbunge wowote wa upinzani, wote wanajua jamaa ana tamaa sana

lugha kali tafadhali zipunguzwe,humu ni kmijadala kwa kwenda mbele

haswaaaaa, Daud kapanic sana na anaongozwa na nguvu ya hisia na sio hoja

Kafurila yeye apambane mwenyewe kama alitumiwa kuropoka atalijua jiji.

namshauri kafulila ajifunze nini maana ya escrow hata kwa njia ya mitandao kuliko kuzungumza mambo ambayo hayana ukweli.

Uelewa finyu wa Kafulila unamsababisha
ashindwe kutofautisha kati ya mali ya umma na mali binafsi,
fedha za umma zilizopo BoT na uwakala wa ESCROW wa BoT,
kazi za serikali na kazi za mbunge kazi za IPTL/PAP na kazi
za TANESCO,IPTL/PAP sio shirika la Umma wala
mali ya serikali,

Endeleeni kujitoa ufahamu tu kwa kumshambulia Kafulila kwa kuwa tu anajaribu kutuonyesha jinsi tunavyoibiwa.. Sasa hao ambao mnaendaga kupitisha bakuli ndo wamegoma kutoa pesa mpaka watakaporidhika hatua zitakazochukuliwa dhidi ya hao mnaowatetea..
https://www.jamiiforums.com/politic...hhold-of-sh1tr-aid-over-the-iptl-scandal.html
 
Sasa hii habari mbona magazeti yote imeandaliwa na mwandishi wetu ? Ndio matumizi ya mabilioni yetu yanafanya kazi ....

ungependa izndikwe na mwandishi gani kwa mfano chief?.

mbona hata zile zilizokuwa zikimtukana na kumdharirisha zitto zuberi kabwe zilikuwa zinaandikwa na mwandishi wetu hivyo hivyo?.

mimi sidhani kama kuna hoja kwenye nani kaandika au la. nadhani hoja ni kweli aliyoripotiwa kuyasema huyo afisa wa IPTL ama la?. lets deal with issues and not viojas
 
Hii timu maalum imeundwa kwa ajili ya kumu attack Kafulila hapa JF. Hawa akina pendolyimo, rebeccamrema & the likes huwezi kuwakuta wakichangia nyuzi zingine zaidi ya zinazomuhusu Kafulila. Njaa zingine hizi mpaka mnatia aibu hapa jinsi mnavyotoka povu.
 
Endeleeni kujitoa ufahamu tu kwa kumshambulia Kafulila kwa kuwa tu anajaribu kutuonyesha jinsi tunavyoibiwa.. Sasa hao ambao mnaendaga kupitisha bakuli ndo wamegoma kutoa pesa mpaka watakaporidhika hatua zitakazochukuliwa dhidi ya hao mnaowatetea..
https://www.jamiiforums.com/politic...hhold-of-sh1tr-aid-over-the-iptl-scandal.html
ila mkuu ebu jaribu kujiuliza kitu kimoja kwa nini hii issue kaikomalia kafalila tu wakati wabunge wa upinzani wapo wengi kama vile mnyika ,lema,mbowe mbona wapo kimya naomba jibu

HACHA UMBULULA
 
Ni kawaida kwa watanzania kumsifia anayewaibia na kumshutumu anayewatetea. Kama kweli kulikuwa na uwizi wa aina yoyote mwenye mali anapaswa kumsaidia mlinzi wake kumkamata na kumfikisha mbele ya sheria mwizi wake. Ni Tanzania mwenye mali anamsaidia mwizi wake kumwibia mali yake. IPTL/PAP ndiye anayetuhumiwa na Mheshimiwa David Kafulila (Mb) kuwa kawaibia watanzania. Ni jukumu la mtuhumiwa kuuthibitisha umma wa watanzania kuwa hajawaibia. Ni jambo la kushangaza kuwa wenye mali ndiyo wanaomwandamba mpiga filimbi ( whistle blower)
Wengi wanachangia kwa hisia kuwa Kafulila anatumika na washindani kibiashara wa IPTL/PAP,lakini tuna uhakika gani kama hawa wote wanaoitetea IPTL/PAP hawajanunuliwa, maana waswahili husema asifuye mvua imemnyea.Kama IPTL/PAP wanaweza kuhonga wakaruhusiwa kuchota hela BOT zilzokuwa ESROW Account watashindwaje kuwahonga wanajamii wachache tena wenye njaa ya vijisenti vidogo vya mlo wa kutwa wanaochangia humu ndani? Kenya inasifiki kuwa ni Taifa linaloongoza Afrika Mashariki kwa rushwa, utakuwa na uhakika gani kuwa kazi wanayokusudiwa kupewa nchini Kenya haipatikani kwa mkono wa rushwa? Katika nchi ya Tanzania kuna rushwa ya mtu mmoja mmoja, ya vikundi, taasisi na hata ya serikali unawezaje kuamini kuwa kinachosemwa Bungeni na wabunge ni kitakatifu hakina harufu ya rushwa. Kama kura za wabunge wa BMK zinaweza kununuliwa na serikali ili kupindisha ukweli wa mambo ni taarifa ipi amabayo inaweza kushindikana kupindishwa?Kama wabunge wote wa upinzani wanaweza kupuuzwa pamoja na hoja zao nzuri, ni nani atamsikiliza Kafulila kwenye nchi inayoshabikia kila tendo ovu linalotendwa na wakubwa?

Si kweli Kwenye EPA, RICHMOND na masakata mengine yote meremeta, kiwila nayote mengine watanzania wote tunayadiri na tunaonyesha waziwazi kuwa yametukela na sisi makanda tunayachukuwa kama political agenda, civil society zinachukuwa kama reference, wananchi wote tunaungana lakini kwenye hili KAFULILA amesimama peke yake na sipolitical agenda,even civil society wamekaa kimya kwenye hili sakata la IPTL/PAP. Yaani hili sakata lina muonekano wa dhahili kuwa limetengenezwa, halina strong evidence ya kuonyesha kuwa kuna wizi. Wewe fikilia mgogoro wa capacity charge kati ya IPTL na TANESCO , mgogoro wa wabia wa IPTL (VIPEM na MECHMAR) unaazaa escrow agreement nayo inazaa escrow account, mgogoro umekwisha IPTL na TANESCO wanakubaliana kushusha capacity charge na mgogoro wa wabia unaisha mahakama kuu, kuna sababu gani ya kuwa na escrow account?? kwanini tusiwape IPTL/PAP fedha zao walizostahilikulipwa muda wote huo amabo tulikaa bila kuwalipa, kumbuka wakati wote wa mgogoro fedha ambayo ilipaswa kulipwa kwa IPTL ilikuwa inatunzwa kwenye escrow account.
Niwazi ndugu yangu KAFULILA anatumika siyo tu na washindani wa biashara bali hata wale ambao wameshindwa kuendelea kupata ulaji wao pale wizara ya nishati kama wakina MKONO, kumbuka MKONO advocate ilikuwa inapiga fedha nyingi sana kutoka TANESCO kwahyo wao walichokuwa wanafanya ni mchana wanakuwa watu usiku wanakuwa wachawi ilikuwafanya mgogoro kati ya TANESCO na IPTL usiishe ili wao waendelee kupiga fedha. Katibu mkuu nishati hili alilisema wazi Ulimsikia MKONO wewe kujibu chochote?? Maswi alisema Kafulila na Zitto wamepewa pesa na MKONO kuichafua wizara na IPTL. MKONO hakujibu hili. KAMA IPTL INGEKUWA INAMASHIKO MAKAMANDA TUNGEIBEBA KAMA POLITICAL AJENDA!! TUMWACHIE KAFULILA MFUPA HUU AHANGAIKE NAO
 
Hii timu maalum imeundwa kwa ajili ya kumu attack Kafulila hapa JF. Hawa akina pendolyimo, rebeccamrema & the likes huwezi kuwakuta wakichangia nyuzi zingine zaidi ya zinazomuhusu Kafulila. Njaa zingine hizi mpaka mnatia aibu hapa jinsi mnavyotoka povu.
Unda na we3we yako mkuu
 
Hii timu maalum imeundwa kwa ajili ya kumu attack Kafulila hapa JF. Hawa akina pendolyimo, rebeccamrema & the likes huwezi kuwakuta wakichangia nyuzi zingine zaidi ya zinazomuhusu Kafulila. Njaa zingine hizi mpaka mnatia aibu hapa jinsi mnavyotoka povu.
ila mkuu ebu jaribu kujiuliza kitu kimoja kwa nini hii issue kaikomalia kafalila tu wakati wabunge wa upinzani wapo wengi kama vile mnyika ,lema,mbowe mbona wapo kimya naomba jibu
 
Ndio maana tunasema nyie hapa mpo kwa ajili ya Kafulila, bunge lililopita hili suala la escrow lilichangiwa pia na Myika ndani ya bunge. Na hii ni hoja ambayo Kafulila aliiwasilisha bungeni ili iundiwe tume ya uchunguzi. Kwahiyo kama Mbowe na Lissu hawakuiongelea ndio inakosa mashiko? Mnatumika kiasi hata mtoto mdogo ni rahisi mno kung'amua. Punguzeni mashambulizi, changie kwa vituo, lakini kwa kasi mliokuja nayo mnagundulika kirahisi mno kuwa mnatumika.
 
Kafulila amefulia, hivi jiulize ukiwa wakala wa M Pesa au TIGO, unakuwa mmiliki wa M PESA au TIGO PESA hiyo, Kwa hiyo BoT alikuwa wakala wa fedha za ESCROW na sio mmiliko wa fedha za ESCROW,-majira
 
Kafulila amefulia, hivi jiulize ukiwa wakala wa M Pesa au TIGO, unakuwa mmiliki wa M PESA au TIGO PESA hiyo, Kwa hiyo BoT alikuwa wakala wa fedha za ESCROW na sio mmiliko wa fedha za ESCROW,-majira[/SI

By mwandishi wetu.
 
Mkuu naomba tueshimiene tena naomba tueshimiane mimi mambo ya kuniqoute then unaniambia ujinga kama huu cpend kama natumika wewe inkuhusu nn? Au unanitumia wewe nakuomba sana tueshimiane na kama uwezi kuchangai bac hacha na na sio kukoqoute id za watu
Ili ni onyo ukirudia ntacho kufanya utajutua maishani m
Hii ni sehemu uhuru bwana kila mtu anachangia

Acha kutisha watu mamdogo, kila mmoja ana uhuru wa kuchangia.
 
Back
Top Bottom