IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

Endeleeni kujitoa ufahamu tu kwa kumshambulia Kafulila kwa kuwa tu anajaribu kutuonyesha jinsi tunavyoibiwa.. Sasa hao ambao mnaendaga kupitisha bakuli ndo wamegoma kutoa pesa mpaka watakaporidhika hatua zitakazochukuliwa dhidi ya hao mnaowatetea..
https://www.jamiiforums.com/politic...hhold-of-sh1tr-aid-over-the-iptl-scandal.html

(i)which was meant to support the country's 2014/15 general budget, has been suspended pending the release of the IPTL probe reports.

(ii)The donors, said the Finland ambassador, would for the time being wait for the final CAG report before making any categorical commitment to support the national budget.

(iii) "Development partners are now awaiting the CAG report and information about its key findings, as well as a response from government, which will determine our decisions on further disbursements," said the envoy.

USIPOTOSHE UMMA , DONORS WANASUBIRI RIPOTI YA CAG, THIS DOES NOT MEAN WAMECONCLUDE KUWA KUNA UFISADI. DONORS WANASUBIRI FINDS ZA CAG NA KAMA KUNA UFISADI KWELI NI HATUA GANI ZITACHUKULIWA. HIKI NDIO KAFULILA ALICHOFAULU KUKIFANYA, UJINGA WAKE YEYE WA MASLAHI YAKE UNALIUMIZA TAIFA. KAFULILA TUTAMUHUKUMU WATANZANIA KWA KUTUCHELEWESHEA WATANZANIA UTEKELEZAJI WA BAJETI YETU. UPUUZI WA KAFULILA UNAWAGHARIMU MPAKA SHANGAZI ZAKE KAKONKO KULE.
 
Watanzania tuwapuuze wabunge vibiriti fitini kama Kafulila na wenzake waliokubali kuweka pembeni uelewa wao na kutumika na makampuni shindani dhidi yetu pamoja Standard Chartered, vinginevyo ajiseme hadharani yeye ni mbia wa Standard Chartered.source majira
maneno makali sana haya duuh,naombeni maana ya vibiriti
:A S 109:
 
Ndio maana tunasema nyie hapa mpo kwa ajili ya Kafulila, bunge lililopita hili suala la escrow lilichangiwa pia na Myika ndani ya bunge. Na hii ni hoja ambayo Kafulila aliiwasilisha bungeni ili iundiwe tume ya uchunguzi. Kwahiyo kama Mbowe na Lissu hawakuiongelea ndio inakosa mashiko? Mnatumika kiasi hata mtoto mdogo ni rahisi mno kung'amua. Punguzeni mashambulizi, changie kwa vituo, lakini kwa kasi mliokuja nayo mnagundulika kirahisi mno kuwa mnatumika.

NDUGU UNATUJUA KWELI MAKAMANDA???? KUMBUKA MKUU SCANDAL KAMA ZA RICHMOND, EPA na NYINGINE NYINGI ZENYE MASHIKO MAKAMANDA TULIVYO KOMAA, HATA UMMA ULISISIMKA. HILI TUMWACHIE KAFULILA MKUU TUACHE USHABIKI HALINA MASHIKO
 
Watanzania tuwapuuze wabunge vibiriti fitini kama Kafulila na wenzake waliokubali kuweka pembeni uelewa wao na kutumika na makampuni shindani dhidi yetu pamoja Standard Chartered, vinginevyo ajiseme hadharani yeye ni mbia wa Standard Chartered.source majira
maneno makali sana haya duuh,naombeni maana ya vibiriti
:A S 109:

Hajawa that brilliant Kafulila wakuweza kuwa mbia wa SCB-HK, anatumika tu kama salama au dume.
 
Acheni umburula nyinyi. Mnatumika kupitiliza.

At least wewe ambaye siyo mburula tufafanulie haya mambo mkuu, tuambie kwanini unadhani IPTL/PAP hawastahili kulipwa pesa zilizokuwa kwenye ESCROW account???? Maana KAFULILA kashindwa kujibu hili swali mwenzako! Toa mchango wako ilihata watu wengine waelevu wakiusoma waelewe kuwa huyu great thinker anasababu za kumtetea Kafulila, Lakini ukishambulia tu unaonekana wazi kuwa umeshindwa kwa hoja.
 
Niliposoma hii habari kwenye magazeti ilinishtua. Duh! Kumbe kweli watu walikwapua shekeli hata kama walitaka kuzipiga bungeni na kuwaita wenzao tumbili? We still have a long way to go.

Mpumbavu ana tabia ya kushupaa na Mjinga
ana tabia ya kuduwaa....Somo
kubwa sana 2014...prof kabudi.
 
Watanzania tuwapuuze wabunge vibiriti fitini kama Kafulila na wenzake waliokubali kuweka pembeni uelewa wao na kutumika na makampuni shindani dhidi yetu pamoja Standard Chartered, vinginevyo ajiseme hadharani yeye ni mbia wa Standard Chartered.source majira
maneno makali sana haya duuh,naombeni maana ya vibiriti
:A S 109:

Mpumbavu ana tabia ya kushupaa na Mjinga
ana tabia ya kuduwaa....somo kubwa sana 2014...prof kabudi.
 
Kweli mtu mzima na fikra zako unaongea kwa kupoteza matumaini eti ona sasa wafadhiri wetunyima misaada!! hopeless kabisa wewe, rubish kabisa yaani umepandikizwa hizi fikra tegemezi mpaka zimekuingia kwenye ubongo wako. Yaani unaamini kabisa kuwa bila wazungu hatuna maisha. Dah! tumefika hapa kifikra kweli???
Basi ngoja nikutoe wasiwasi ndugu yangu, hakuna kitu kama hicho ripoti ya CAG itatoka na DONORS watacheka kwa kuona jinsi ambavyo tunambunge boya kama kafulila. Tatizo ni ucheleweshwaji tu wa utekelezaji wa bajeti uliosababishwa na kafulila. Mr. TUMBILI TUNATAKA ZILE NYARAKA 600 ULIZOSEMA UNAZO KUHUSU UFISADI WA ESCROW ACCOUNT.
 
IPTL/PAP YAMVAA KAFULILA

KAMPUNI ya Pan Africa Power Solutions Tanzania Limited (PAP), ambayo ni mmiliki halali wa kampuni ya IPTL imempuuza, kumshangaa na kumdharau mbunge wa Kigoma Kusini-NCCR Mageuzi, David Kafulila kwa taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari Oktoba 5, mwaka huu.

Taarifa iliyotolewa na kusainiwa na Katibu na Mshauri wa sheria IPTL/PAP, Joseph Makandege imesema
Kafulila anaweweseka na hii inatokana na umma kushindwa kukielewa anachokisimamia ndio maana analazimisha masuala ya uongouongo yaaminiwe na umma.

Makandege alisema Kafulila anajua fika kwamba
IPTL ni mali ya PAP, baada ya VIP na MECHMAR kuuza hisa zao kwa PAP na hili jambo sio siri na limeripotiwa katika vyombo vyote vya habari Tanzania anaweza akarejea taarifa ya aliyekuwa mmiliki wa VIP, James Rugemalira aliyeitoa Agosti 29, 2013.

Katika taarifa ya Rugemalira, Makandege alisema mmiliki huyo wa VIP alieleza namna ya mchakato wa manunuzi ulivyokwenda baina ya PAP na VIP, hivyo Kafulila aache kuota ndoto za alinacha kwa kuwa
kila mwenye akili timamu anafahamu kwamba IPTL/PAP inauzia umeme TANESCO tangu mwaka 2002 na mwaka 2006,

VIP na MECHMAR iliingia katika mgogoro wa kimaslahi na kupelekea kusainiwa kwa makubaliano ya kisheria ya ESCROW na hatimaye na kufunguliwa kwa akaunti ya ESCROW, ambayo BoT alikuwa wakala wa ESCROW na si mmiliki wa fedha za ESCROW.

"Kafulila amefulia, hivi jiulize ukiwa wakala wa M Pesa au TIGO, unakuwa mmiliki wa M PESA au TIGO PESA hiyo, Kwa hiyo BoT alikuwa wakala wa fedha za ESCROW na sio mmiliko wa fedha za ESCROW,''ilisema taarifa hiyo.

Makandege alisema Kafulila anafahamu fika kuanzia tangu kusaniwa kwa makubaliano ya ESCROW Julai 5, 2006,
TANESCO walikuwa wanaendelea kupatiwa umeme kila siku, kwa kiasi kilekile wanachokihitaji wao mpaka leo hii na anajua kwamba, TANESCO walikuwa hawailipi IPTL na badala yake fedha walikuwa wanaziweka katika akaunti ya ESCROW, Je Kafulila alitaka tuwape umeme bure TANESCO. Je yeye anapofanya kazi bungeni halipwi?, Anapokaa katika vikao vyake hapewi posho au wanaomtuma kueneza uongo hawamlipi?. Kafulile aache kutumika vibaya.

"Dunia nzima inafahamu sasa kwamba PAP/IPTL imepewa dhamana ya kuzalisha megawati 2000 nchini Kenya na hilo inathibitika katika barua kutoka serikali ya Kenya iliyosainiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Petroli, Injinia Joseph .K. Njoroge Agosti 19, 2014 kwenda kwa Mwenyekiti Mtendaji wa PAP, Harbinder Sing Sethi.,''ilisema.

Taarifa hiyo, ilieleza barua ya Kenya kumtaka Singasinga Seth azalishe umeme Kenya ilikuwa ina kumbukumbu namba ME&D/CONF/3/2/73A iliyokuwa na kichwa cha habari ''Expression of interest for IPP for 2000MV power generations and supply to Kenya and Tanzania''.

Makandege alisema Kafulila anaposema Singasinga Seth haruhusiwi kufanya biashara Kenya, wakati Singasinga huyo huyo, ameshapewa kibali cha kuzalisha umeme na kuuza Kenya ikiwa ni mara 20 zaidi anayozalisha Tanzania, Hivyo ni kichaa pekee anayeweza kuamini upuuzi huu wa Kafulila.

''Tunapenda kuwasisitizia watanzania waendelee kumpuuza mtu huyu kwani kwa sasa amevurugwa ndio maana anahamishahamisha mijadala na kiasi cha kumhusisha Waziri Mkuu, Baraza la Mawaziri huku akijua ESCROW ni jambo la kisheria na si la kisiasa na yalikuwa malipo halali kwa IPTL/PAP na huo ndio ukweli na utaendelea kuwa hivyo, na ningemshauri Kafulila ajifunze nini maana ya ESCROW hata kwa njia ya mtandao

ili siku nyingine asiendelee kulishwa ujinga wa namna hii bila kujua ukweli wa ndani kufanya hivyo ni kufedhehesha watanzania kwamba wanawachagua wabunge wenye uelewa mdogo kama Kafulila''. ilisema taarifa hiyo.

Ilisema
uelewa finyu huu wa Kafulila unamsababisha ashindwe kutofautisha kati ya mali ya umma na mali binafsi, fedha za umma zilizopo BoT na uwakala wa ESCROW wa BoT, kazi za serikali na kazi za mbunge kazi za IPTL/PAP na kazi za TANESCO tunasisitiza IPTL/PAP sio shirika la Umma wala mali ya serikali,

Kafulila na wenzake waelekeze nguvu katika mashirika ya umma yanayofilisika kila kukicha huku na yeye akiwa sehemu ya ufilisi huo, Watanzania tuwapuuze wabunge vibiriti fitini kama Kafulila na wenzake waliokubali kuweka pembeni uelewa wao na kutumika na makampuni shindani dhidi yetu pamoja Standard Chartered, vinginevyo ajiseme hadharani yeye ni mbia wa Standard Chartered.

Hivyo, tunawahakikishia watanzania tutaendelea kuzalisha na kuwauzia umeme wa uhakika na kwa bei nafuu na mchakato wetu wa kushusha bei ya umeme kutoka 450 ya sasa kwa uniti mpaka sh. 80 uko mbioni kukamilika ili watanzania wafurahie huduma ya umeme na wachagize maendeleo yao japo kina Kafulila na wapinzani wetu wa kibiashara hawapendi watanzania wafaidi matunda yao.
 
Wafadhili waivaa Serikali kuhusu wizi wa shilingi bilioni za ESCROW, wagoma kutoa shilingi Trilioni moja za msaada katika bajeti ya 2014/2015 mpaka wajue jinsi shilingi bilioni 200 zilivyoibiwa.

Wafadhili waivaa Serikali kuhusu wizi wa shilingi bilioni za ESCROW, wagoma kutoa shilingi Trilioni moja za msaada katika bajeti ya 2014/2015 mpaka wajue jinsi shilingi bilioni 200 zilivyoibiwa.

(i)which was meant to support the country's 2014/15 general budget, has been suspended pending the release of the IPTL probe reports.

(ii)The donors, said the Finland ambassador, would for the time being wait for the final CAG report before making any categorical commitment to support the national budget.

(iii) "Development partners are now awaiting the CAG report and information about its key findings, as well as a response from government, which will determine our decisions on further disbursements," said the envoy.

USIPOTOSHE UMMA , DONORS WANASUBIRI RIPOTI YA CAG, THIS DOES NOT MEAN WAMECONCLUDE KUWA KUNA UFISADI. DONORS WANASUBIRI FINDS ZA CAG NA KAMA KUNA UFISADI KWELI NI HATUA GANI ZITACHUKULIWA. HIKI NDIO KAFULILA ALICHOFAULU KUKIFANYA, UJINGA WAKE YEYE WA MASLAHI YAKE UNALIUMIZA TAIFA. KAFULILA TUTAMUHUKUMU WATANZANIA KWA KUTUCHELEWESHEA WATANZANIA UTEKELEZAJI WA BAJETI YETU. UPUUZI WA KAFULILA UNAWAGHARIMU MPAKA SHANGAZI ZAKE KAKONKO KULE.
 
Kweli mtu mzima na fikra zako unaongea kwa kupoteza matumaini eti ona sasa wafadhiri wetunyima misaada!! hopeless kabisa wewe, rubish kabisa yaani umepandikizwa hizi fikra tegemezi mpaka zimekuingia kwenye ubongo wako. Yaani unaamini kabisa kuwa bila wazungu hatuna maisha. Dah! tumefika hapa kifikra kweli???
Basi ngoja nikutoe wasiwasi ndugu yangu, hakuna kitu kama hicho ripoti ya CAG itatoka na DONORS watacheka kwa kuona jinsi ambavyo tunambunge boya kama kafulila. Tatizo ni ucheleweshwaji tu wa utekelezaji wa bajeti uliosababishwa na kafulila. Mr. TUMBILI TUNATAKA ZILE NYARAKA 600 ULIZOSEMA UNAZO KUHUSU UFISADI WA ESCROW ACCOUNT.
 
quote_icon.png
By Antmatter
Dar es Salaam. It is now official. Development partners (DPs) have not released even a single dollar out of the $558 million (Sh937 billion), that had been pledged to boost Tanzania's 2014/15 Budget. They will only give it out upon seeing-and being satisfied with-the outcome of the investigations into the controversial payments of Independent Power Tanzania Limited (IPTL) escrow monies to Pan Africa Power Solutions Tanzania Limited (PAP).

The DPs chairperson, Finnish Ambassador to Tanzania Sinikka Antila, yesterday confirmed to The Citizen that the nearly Sh1 trillion, which was meant to support the country's 2014/15 general budget, has been suspended pending the release of the IPTL probe reports.

Ms Antila told this paper that the donor community was concerned over how the escrow monies were paid to the company that claims to have bought 70 per cent shares of IPTL, which were held by a Malaysian firm, Mechmar Berhad Corporation.

The donors, said the Finland ambassador, would for the time being wait for the final CAG report before making any categorical commitment to support the national budget.

"Budget support development partners in Tanzania take the emerging IPTL case with the utmost seriousness and are carefully monitoring its development as the case involves large amounts of public funds," she said.

"We meet with the government regularly to discuss budget support issues," said Ms Antila.

According to Ms Antila, in March 2014, firm commitments for budget support in the financial year 2014/15, worth $558 million, were communicated to the government with the caveat that releases would be informed by developments in relation to the IPTL case.

She said the DPs' contribution to the budget finances stands at approximately five per cent of the national public expenditure programme.

"Development partners are now awaiting the CAG report and information about its key findings, as well as a response from government, which will determine our decisions on further disbursements," said the envoy.

On Sunday, the Kigoma South MP, Mr David Kafulila (NCCR-Mageuzi), told reporters that donors, especially those in EU countries, were withholding funds meant to support the 2014/15 Budget pending the release of the two probe reports on the $250 million in escrow monies, part of which was paid directly to Pan Africa Power Solutions Tanzania Ltd (PAP) after the company claimed it has bought 70 per cent shares in Independent Power Tanzania Limited (IPTL). "If the government fails to take serious measures against the culprits, its obvious donors will not release funds," he said,

Earlier this year, Mr Kafulila took the matter to Parliament following an expose of the multibillion scandal by The Citizen newspaper.

The MP further threatened that if the government fails to release the two reports, he would move a motion of no-confidence against either Prime Minister Mizengo Pinda-who also defended the deal before the House-or the President.

The Citizen 8/10/14

Hii ni habari njema lakini hatuweza kubeba hii habari na kuipotosha kwa umma kwamba kwa sababu donors wanataka uthibitisho wa matumizi mazuri ya pesa zao ndio iwe uthibitisho kuwa kuna wizi au ufisadi hapana maana hii ndio theory kafulila anayojaribu kuijenga, hapana huo ni upotoshaji mkubwa. Donors kama ilivyofanya serikali imemsikilza Kafulila na imefanyia kazi kwa kuanzisha uchunguzi kwa kutumia vyombo vyake ambavyo ni PCCB na CAG. Na DONORS wanasubiri findings za hiyo ripoti na hatua zitazo chukuliwa. TUSIPOTOSHE UMMA, DONORS KUSUBILI RIPOTI HAKUMAANISHI KUWA KUNA UNAUFISADI LAKINI KWA KUWA KUNA KELELE ZA KAFULILA BASI LAZIMA WAFANYIE KAZI KAMA ILIVYOFANYA SERIKALI. TUMSHUKURU KAFULILA KWA HILI ILA TUKUMBUKE MWISHO WA SIKU HUU UCHELEWESHAJI WA UTEKELEZAJI UMELETWA NA KAFULILA KWAHYO WANACHI TUJIANDAE ADHABU YA KUMPA KAFULILA KWA KUTUCHELEWESHEA UTEKELEZAJI WA BAJETI.

pendolyimo and pitapiti like this.
 
Besides discovering that huge sums of money had been transferred from the account to several others at the same bank, the investigators raised the red flag over the millions of dollars transferred from the bank to an overseas account.

Under international banking practice, an account may be frozen by government or regulatory authorities if they suspect criminal activity and civil action or liens filed against the account.

As the nation awaits the findings of the CAG and the PCCB, emerging reports have it that the investigations have established that some influential Tanzanians--including cabinet ministers, a permanent secretary and MPs--were paid substantial amounts of money from VIP's at Mkombozi.

An impeccable source told The Citizen on Saturday that the PCCB has established that taking the money from BoT was "outright theft" facilitated by corruption. Top officials in the BoT, the Attorney General's Chambers and the energy ministry appear to have been implicated. "The CAG has concluded that the release of money from the escrow account was a grossly irregular move based on fraud," said the source.

The CAG has recommended that all the officials be charged in court and the money taken from the escrow account returned.

Dr Hosea is also ready to prosecute those who received the Rugemalila money from Mkombozi.
 
Wafadhili waivaa Serikali kuhusu wizi wa shilingi bilioni za ESCROW, wagoma kutoa shilingi Trilioni moja za msaada katika bajeti ya 2014/2015 mpaka wajue jinsi shilingi bilioni 200 zilivyoibiwa.

Kafulila anafahamu fika
kuanzia tangu kusaniwa kwa makubaliano ya
ESCROW Julai 5, 2006, TANESCO walikuwa
wanaendelea kupatiwa umeme kila siku, kwa
kiasi kilekile wanachokihitaji wao mpaka leo
hii na anajua kwamba, TANESCO walikuwa
hawailipi IPTL na badala yake fedha walikuwa
wanaziweka katika akaunti ya ESCROW, Je
Kafulila alitaka tuwape umeme bure TANESCO.
Je yeye anapofanya kazi bungeni halipwi?,
Anapokaa katika vikao vyake hapewi posho au
wanaomtuma kueneza uongo hawamlipi?.
Kafulile aache kutumika vibaya.
 
Wafadhili waivaa Serikali kuhusu wizi wa shilingi bilioni za ESCROW, wagoma kutoa shilingi Trilioni moja za msaada katika bajeti ya 2014/2015 mpaka wajue jinsi shilingi bilioni 200 zilivyoibiwa.

Mkuu source wapi
 
Hii timu maalum imeundwa kwa ajili ya kumu attack Kafulila hapa JF. Hawa akina pendolyimo, rebeccamrema & the likes huwezi kuwakuta wakichangia nyuzi zingine zaidi ya zinazomuhusu Kafulila. Njaa zingine hizi mpaka mnatia aibu hapa jinsi mnavyotoka povu.

Mkuu mbona mimi nawaona kwenye nyuzi zinge
Alafu kwani wewe humu jf ni nani? Maana mpaka unapata kaujeuri ka kuwapangia watu nyuzi za kuchangia acha ukiraza mkuu njoo na hoja zenye mashiko ili watu tukuelewe na co hayo mambo unayo leta hapa jamvini
 
Back
Top Bottom