IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

wataelewa tu kama ni kweli au la,hapo sasa ndipo kafulila atavyojichimbia chini kwa haibu yake hiyo ya kuwadanganya watanzania.
Watanzania wasikubali kulishwa ujinga wa namna hii na kafulila bila kujua ukweli wa ndani kwani kufanya hivyo ni kufedheheshwa na siku nyingine wasikubali kuwachagua wabunge wenye uelewa mdogo kama Kafulila maana ni majanga matupu.
 
Chanzo: GAZETI LA MAJIRA 8th October 2014

http://habarihuru.blogspot.com/2014/10/iptlpap-yamvaa-kafulila.html

Watanzania wasikubali kulishwa ujinga wa namna hii na kafulila bila kujua ukweli wa ndani kwani kufanya hivyo ni kufedheheshwa na siku nyingine wasikubali kuwachagua wabunge wenye uelewa mdogo kama Kafulila maana ni majanga matupu kwetu sisi wananchi.
yani wasikubali kabisa coz kafulila anatetea maslai yake na sio nchii
jaman tuwe makin na huyu mchumia tumbo
 
kweli mkuu,lakini ni kosa kuzuia haki ya mtu kuchangia mijadala muhimu kama huu,jirekebishe mkuu
Watanzania wasikubali kulishwa ujinga wa namna hii na kafulila bila kujua ukweli wa ndani kwani kufanya hivyo ni kufedheheshwa na siku nyingine wasikubali kuwachagua wabunge wenye uelewa mdogo kama Kafulila maana ni majanga matupu.
 
kwahyo mlitegemea wakubali ufisadi? mbona report haitolewi mpaka leo?

Haufatiri kwa makini vyombo vya habari.
Rai (Nguvu ya Hoja) toleo na 1166, tarehe 2-8 oktoba

rimepoti kukabidhiwa kwa zitto.JPG ripoti kukabidhiwa kwa zitto 2.JPG

Tusubiri novemba bungeni.
 
Chanzo: GAZETI LA MAJIRA 8th October 2014

http://habarihuru.blogspot.com/2014/10/iptlpap-yamvaa-kafulila.html
Kafulila amefeli kutofautisha Kampuni ya IPTL iliyotokana na Muungano wa kampuni ya Mechmar (Malaysia) Berhard (70%) na VIP(30%), na kampuni ya PAP/IPTL iliyoundwa baada ya kununuliwa kampuni kwa kampuni hizo hapo juu,hivyo kitendo cha kuzungumzia utendaji kazi wa kampuni ya IPTL(CHINI YA PAP) kwa kuihusisha na kampuni ya IPTL chini ya Mechmar na VIP ni kuionea PAP na kuikosea kampuni hii ya PAP/IPTL.
 
Haufatiri kwa makini vyombo vya habari.
Rai (Nguvu ya Hoja) toleo na 1166, tarehe 2-8 oktoba

View attachment 191988 View attachment 191989

Tusubiri novemba bungeni.
Kafulila amefeli kutofautisha Kampuni ya IPTL iliyotokana na Muungano wa kampuni ya Mechmar (Malaysia) Berhard (70%) na VIP(30%), na kampuni ya PAP/IPTL iliyoundwa baada ya kununuliwa kampuni kwa kampuni hizo hapo juu,hivyo kitendo cha kuzungumzia utendaji kazi wa kampuni ya IPTL(CHINI YA PAP) kwa kuihusisha na kampuni ya IPTL chini ya Mechmar na VIP ni kuionea PAP na kuikosea kampuni hii ya PAP/IPTL.
 
kwahyo mlitegemea wakubali ufisadi? mbona report haitolewi mpaka leo?
Kafulila amefeli kutofautisha Kampuni ya IPTL iliyotokana na Muungano wa kampuni ya Mechmar (Malaysia) Berhard (70%) na VIP(30%), na kampuni ya PAP/IPTL iliyoundwa baada ya kununuliwa kampuni kwa kampuni hizo hapo juu,hivyo kitendo cha kuzungumzia utendaji kazi wa kampuni ya IPTL(CHINI YA PAP) kwa kuihusisha na kampuni ya IPTL chini ya Mechmar na VIP ni kuionea PAP na kuikosea kampuni hii ya PAP/IPTL.
 
kwahyo mlitegemea wakubali ufisadi? mbona report haitolewi mpaka leo?
kaka mbona amna ufisad pale tatizo lako umekalili na unetakakujua ukweli ungefanya uchambuzi wako au ungefatilia mwenye mwanzo hadi mwisho wa mchakato huu na sio kuchukua mawazo ya upande mmoja na kutoa conclussion
ushauli wa bure kaka angu
 
Kafulila amefeli kutofautisha Kampuni ya IPTL iliyotokana na Muungano wa kampuni ya Mechmar (Malaysia) Berhard (70%) na VIP(30%), na kampuni ya PAP/IPTL iliyoundwa baada ya kununuliwa kampuni kwa kampuni hizo hapo juu,hivyo kitendo cha kuzungumzia utendaji kazi wa kampuni ya IPTL(CHINI YA PAP) kwa kuihusisha na kampuni ya IPTL chini ya Mechmar na VIP ni kuionea PAP na kuikosea kampuni hii ya PAP/IPTL.
 
Kafulila amefeli kutofautisha Kampuni ya IPTL iliyotokana na Muungano wa kampuni ya Mechmar (Malaysia) Berhard (70%) na VIP(30%), na kampuni ya PAP/IPTL iliyoundwa baada ya kununuliwa kampuni kwa kampuni hizo hapo juu,hivyo kitendo cha kuzungumzia utendaji kazi wa kampuni ya IPTL(CHINI YA PAP) kwa kuihusisha na kampuni ya IPTL chini ya Mechmar na VIP ni kuionea PAP na kuikosea kampuni hii ya PAP/IPTL.

Hapana kafulila hajafeli kutofautisha kati ya hayo makampuni, anajua fika kila kitu shida ni kuwa ameamua kwa makusudi kuchafua taswira ya IPTL baada ya PAP/IPTL kukataa kumpa fedha aliyoiomba kwao eti ili afunge mdomo,sasa kinachofuata IPTL wameamua sharia itawale wamempeleka mahakamani na watapeleka ushahidi wa jinsi alivyoomba fedha ili anyamaze, na bilioni 300 atawalipa IPTL, ILI LIWE FUNZO KWA WABUNGE WENYE UCHU WA FEDHA ZA HARAKA HARAKA
 
Chanzo: GAZETI LA MAJIRA 8th October 2014

http://habarihuru.blogspot.com/2014/10/iptlpap-yamvaa-kafulila.html

Hapana kafulila hajafeli kutofautisha kati ya hayo makampuni, anajua fika kila kitu shida ni kuwa ameamua kwa makusudi kuchafua taswira ya IPTL baada ya PAP/IPTL kukataa kumpa fedha aliyoiomba kwao eti ili afunge mdomo,sasa kinachofuata IPTL wameamua sharia itawale wamempeleka mahakamani na watapeleka ushahidi wa jinsi alivyoomba fedha ili anyamaze, na bilioni 300 atawalipa IPTL, ILI LIWE FUNZO KWA WABUNGE WENYE UCHU WA FEDHA ZA HARAKA HARAKA.
 
Back
Top Bottom