IPP punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Vp NSSF ya Balozi Dau, shirika la umma ilikuwaje pale?! Itakuwa IPP ya Dr. Mengi?
 
Misimu ya krismass ofa za matangazo msimu wa sikukuu za krismass ni tofauti na Eid hivyo tofauti zinaonekana, vipindi vya nyimbo za injili vipo tofauti zinaonekana hakuna vipindi vya kaswida, Fatma Almasi alipokuwa ITV alikuwa havai hijabu sasa anavaa tofauti hiyo.
 
Na wakienda hvy au tukienda hvy kuna Dini itaathi`ka sana

Maana serikalini wakristo makampuni binafsi Waislam

Alisha liongelea sana ilunga enzi za uhai wake
 
Na wakienda hvy au tukienda hvy kuna Dini itaathi`ka sana

Maana serikalini wakristo makampuni binafsi Waislam

Alisha liongelea sana ilunga enzi za uhai wake
watu wanajifanya kutoelewa eti
 
Bhakhesa kila kiwanda chake,vituo vyake vya biashara vina misikiti,tena hataki kabisa makafili kufanya kazi kwake,ukifanya kazi kwa Azam group hutakiwi hata kuvaa msalaba au rozali
 
Nendeni kwa bakhresa mbona masikia nae wakristo hawapewi nafas
 
hiyo ya dau ni ukweli bila chenga coz tuna ushahidi watu hawajasoma walipewa michongo na ndio maana palikuwa bweleleee
 
Lete copy ya mambo yako ya kazi ambatanisha vyeti vyako na CV J3 asubuhi tuvione. Kama kweli ulistahili na ukanyimwa kazi. Acheni kuzusha mambo
 
usiwasingizie wazungu mambo haya yapo bila chenga kama huyaoni basi wewe ni kipofu mwasese
 
Acha uzwazwa mbona waislamu wamewahi kuwepo na bado wapo wengi, mfano:
Abdalah Mwaipaya.
Fardiha Midhley(sina uhakika na spelling)
Aboubakar Sadick.
Faroouk Mohammed Kareem.
Maulid Kitenge.
 
Kweli mkuu, Tuvumiliane
 
Kwanini wakristo wengi wakiona taasisi ina waislam wengi wanalalama sana lakini sijawahi kuona waislam wakilalamikia taasisi zenye wakristo wengi, kama CRDB, IPP, TMAA, TANESCO, na nyingine nyingi. Anzeni kufanya tafiti muone nani wanapaswa kulalamika.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…