watu wanajifanya kutoelewa etiNa wakienda hvy au tukienda hvy kuna Dini itaathi`ka sana
Maana serikalini wakristo makampuni binafsi Waislam
Alisha liongelea sana ilunga enzi za uhai wake
Bhakhesa kila kiwanda chake,vituo vyake vya biashara vina misikiti,tena hataki kabisa makafili kufanya kazi kwake,ukifanya kazi kwa Azam group hutakiwi hata kuvaa msalaba au rozaliNajua wengi mnafahamu hizi kampuni zinazosimamiwa na Mwenyekiti wake ambaye ni Dr. Mengi, hii kampuni kwa waislam na wasabato kupata kazi ni vigumu sana iwe hata kazi ndogo ndogo. Imefikia hatua hata ukipata kwa bahati mbaya kama ni binti wa kiislam haurusiwi kuvaa ushungi.
Kumbukeni vituo na magezeti yenu wateja wake ni wa dini zote
Charles Hilary yuko wapi mkuu??
hiyo ya dau ni ukweli bila chenga coz tuna ushahidi watu hawajasoma walipewa michongo na ndio maana palikuwa bweleleeeHata alipoona jina la Tido Muhando, Charles, Ivona Kamuntu, Suzan na wengine pia aliwakosesha kazi, tena kibaya zaidi akawapa kazi za utawala wa juu... mna matatizo sana ndugu zetu wa upande wa kushoto (Shimali). Mlilalamika sana kuhusu Dau na udini pale NSSF mkafanya mpaka na statistics kujua waislam wangapi na wakirisito wangapi ! MATOKEO MPAKA LEO MMEYAKALIA mligundua nini kwani mpaka MSIYATOE TUONE MALALAMIKO YENU?
Ukienda BOT, CRDB IPP NA SEHEMU LUKUKI wenzetu wapo wengi, lakini wakizidi waislam kwenye kampuni fulani basi imekuwa wadini KWANI MNA NINI ENYI WAKIRISITO WA NCHI HII? hamuoni kwengine kukijaza wakirisito ila waislam wakijaa sehemu basi ni udini MNATAKA WAISLAM WAENDE WAPI NYIE VIUMBE !!!! HII NCHI NI YETU SOTE !!!!
Lete copy ya mambo yako ya kazi ambatanisha vyeti vyako na CV J3 asubuhi tuvione. Kama kweli ulistahili na ukanyimwa kazi. Acheni kuzusha mamboNajua wengi mnafahamu hizi kampuni zinazosimamiwa na Mwenyekiti wake ambaye ni Dr. Mengi, hii kampuni kwa waislam na wasabato kupata kazi ni vigumu sana iwe hata kazi ndogo ndogo. Imefikia hatua hata ukipata kwa bahati mbaya kama ni binti wa kiislam haurusiwi kuvaa ushungi.
Kumbukeni vituo na magezeti yenu wateja wake ni wa dini zote
usiwasingizie wazungu mambo haya yapo bila chenga kama huyaoni basi wewe ni kipofu mwaseseHakuna habari nisizo zipenda JF kama za migongano ya kidini. Hili ni bomu la akiba la wazungu ambalo wamelitegesha kwetu. Siku wakitaka kutulipua watakachofanya ni kumtengeneza mtu akaenda kilipua ama nyumba ya ibada au rasilimali ya dini yoyote halafu inaundwa mitandao na inatangazwa kwa nguvu sana kua huyo kafanya hivyo kwa kua anaichukia dini husika. Kitakachofuata ni wafuasi wa dini iliyoshambuliwa kulipiza kisasi kwa maneno na vitendo. Mungu atunusuru
Kuja kwa thread hizi, ile ya alexielias kuhusu udini kwenye kampuni ya Bakhresa na hii ya byembalilwa kuhusu udini IPP ni mifano halisi na naona ni mkakati wa kuwamisha watu kutoka kwenye ajenda flani sijui ya tarehe ngapi mwezi wa nne(japo siiungi mkono) waanze kushambuliana wenyewe kwa wenyewe, na kupitia dini mkakati utafanikiwa
Watu km hao ndio wa kushughulikiwa, hata km anatoa ajira yuko kwetu asilete ubaguzi wa kidini.Mwambieni Bakhresa apunguze udini.....
Kweli mkuu, TuvumilianeKila mtu akiamua atoe lake la rohoni hakuna atakaebaki salama , cha msingi ni kuvumiliana tu na maisha yaendelee , ukisema kampuni hii waislamu wengi , ni lazima ukumbuke kuna kampuni nyingine ina Wakristo wengi , ukisema sekta hii wamejaa kabila A , kuna sehemu utakuta wamejaa kabila B n.k , na hizi changamoto zinaanzia kwenye Private sector mpaka Public sector , lililobaki ni kuvumiliana tu , kila mtu anajua kama kaajiriwa sehemu anajua ameajiriwa kwa vigwzo vipi , kama ni competence yake , amechukuliwa kwasababu ya kabila lake , au dini yake hilo ni juu yake cha msingi aitetee nafasi aliyopewa , vinginevyo umma utamnyooshea kidole na ataonekana kama alipo anastahili au la , shukrani!