Achana na mambo ya udini kijana ,hayana mpango naona umekomalia kichizi.kama vipi pambana na wewe pata pesa zako nenda kawaajiri hata kabila lakoMkuu Tumesema Waislam wameajiriwa 99% na wakristo Ni 1%
Hao uliowataja wanawakilisha asilimia moja tu
Mwambieni hata makafiri Ni wateja wa bidhaa zake
Jamaa wanaubaguzi sana nakwambia hata Hao wasio Waislam waliojiriwa huko wanaish kwa wasiwasi sanaNdio na hili mimi nililiona kipindi cha mfungo wa ramadhani walitoa ofa kwa watumiaji wa ving'amuzi vya azam miezi mitatu nikasubiri kipindi cha xmass nione pia kimya tu nakuja hawa jamaa wanahudumia waisilamu hii nchi kumbe
Mweka hazina mkuu wa Ipp aliyefariki Juzi Ni ustaadhnitajie majina matatu ya waislam hapo IPP tena top management
mkuu una ushahidiJamaa wanaubaguzi sana nakwambia hata Hao wasio Waislam waliojiriwa huko wanaish kwa wasiwasi sana
Hata alipoona jina la Tido Muhando, Charles, Ivona Kamuntu, Suzan na wengine pia aliwakosesha kazi, tena kibaya zaidi akawapa kazi za utawala wa juu... mna matatizo sana ndugu zetu wa upande wa kushoto (Shimali). Mlilalamika sana kuhusu Dau na udini pale NSSF mkafanya mpaka na statistics kujua waislam wangapi na wakirisito wangapi ! MATOKEO MPAKA LEO MMEYAKALIA mligundua nini kwani mpaka MSIYATOE TUONE MALALAMIKO YENU?
Ukienda BOT, CRDB IPP NA SEHEMU LUKUKI wenzetu wapo wengi, lakini wakizidi waislam kwenye kampuni fulani basi imekuwa wadini KWANI MNA NINI ENYI WAKIRISITO WA NCHI HII? hamuoni kwengine kukijaza wakirisito ila waislam wakijaa sehemu basi ni udini MNATAKA WAISLAM WAENDE WAPI NYIE VIUMBE !!!! HII NCHI NI YETU SOTE !!!!
Kweli kabisa mkuu
Yan ukienda pale azam wanakagua Jina lako kwanza kama la kikafiri wanakujibu Hakuna kazi
Waende zanzibarHata alipoona jina la Tido Muhando, Charles, Ivona Kamuntu, Suzan na wengine pia aliwakosesha kazi, tena kibaya zaidi akawapa kazi za utawala wa juu... mna matatizo sana ndugu zetu wa upande wa kushoto (Shimali). Mlilalamika sana kuhusu Dau na udini pale NSSF mkafanya mpaka na statistics kujua waislam wangapi na wakirisito wangapi ! MATOKEO MPAKA LEO MMEYAKALIA mligundua nini kwani mpaka MSIYATOE TUONE MALALAMIKO YENU?
Ukienda BOT, CRDB IPP NA SEHEMU LUKUKI wenzetu wapo wengi, lakini wakizidi waislam kwenye kampuni fulani basi imekuwa wadini KWANI MNA NINI ENYI WAKIRISITO WA NCHI HII? hamuoni kwengine kukijaza wakirisito ila waislam wakijaa sehemu basi ni udini MNATAKA WAISLAM WAENDE WAPI NYIE VIUMBE !!!! HII NCHI NI YETU SOTE !!!!
mjadala ni IPPWaende zanzibar
Kila mtu akiamua atoe lake la rohoni hakuna atakaebaki salama , cha msingi ni kuvumiliana tu na maisha yaendelee , ukisema kampuni hii waislamu wengi , ni lazima ukumbuke kuna kampuni nyingine ina Wakristo wengi , ukisema sekta hii wamejaa kabila A , kuna sehemu utakuta wamejaa kabila B n.k , na hizi changamoto zinaanzia kwenye Private sector mpaka Public sector , lililobaki ni kuvumiliana tu , kila mtu anajua kama kaajiriwa sehemu anajua ameajiriwa kwa vigwzo vipi , kama ni competence yake , amechukuliwa kwasababu ya kabila lake , au dini yake hilo ni juu yake cha msingi aitetee nafasi aliyopewa , vinginevyo umma utamnyooshea kidole na ataonekana kama alipo anastahili au la , shukrani!Ila hii tabia ya udini kwa Tanzania ipo sana sema haimulikwi ipasavyo tu, hasa haya mashirika yasiyo ya kiserikal ndio balaa....kuna classmate wangu mmoja wa kike aliwahi kupata kaz SAVE THE CHILDREN mkoa wa Lindi yaan ilikua ni shidaaa..yeye kwa uvaaji anapenda sana kuvaa hijab bas walikua wanamshangaa kawezaje kupata kaz pale kwa namna anavyojiweka. Ofisi nzima alika mwislam peke yake na wanasema kwa ofisi ile yeye ndio wa kwanza.
Mimi mwenyew kuna shirika moja lisilo la kiserikal (jina kapuni) niliwah kufanya kaz liko mikochen, yaan mtu akiniuliza jina nikimtajia anashangaa na kuuliza ww ni muislam nikimjib ndio ananiuliza una ndugu yko boss huko juu ukisema hapana wanabak wanaangaliana tu. Kwa namna fulan tuachen hiz mambo znaondoa sana moral miongon mwa wanadam sisi.
Mkuu wadau wanasema ajira pale Ni 99% kwa Waislam na wasio Waislam Ni 1%Hilo sina hakika nazo maana mimj ni mwislam na nimewah kukosa kaz azam...lakn kama haitosh Azam tv kuna wakristu wengi tu kama vile Charles Hilary, Ivona Kamuntu, Raymond Nyamwihula, Jof lea, na wengine wengi tu sasa sijui ww ulienda Azam gan na je ulikua na sifa za kupata hyo kaz?
Huu ni utoto, akina Abdala Mwaipaya wapo miaka mingi tu pale na wengine wengi.Naona una jaribu kumsaidia mzee bakresa baada ya watu kulalamika kuwa kaajiri Waislam 99%kwenye kampun yake
Mwambieni tu bakresa hata makafiri Ni wateja wake
Taratibuuu mnafikishwa mlipo kuwa hampajui mwisho wake mtaona mapanga yameenea yanaanza kugawiwa kanisani hapo sasa sijui nani atakaye waamua na udini na ukabilaNaona una jaribu kumsaidia mzee bakresa baada ya watu kulalamika kuwa kaajiri Waislam 99%kwenye kampun yake
Mwambieni tu bakresa hata makafiri Ni wateja wake
Hii nchi inaelekea kubaya mkuuTaratibuuu mnafikishwa mlipo kuwa hampajui mwisho wake mtaona mapanga yameenea yanaanza kugawiwa kanisani hapo sasa sijui nani atakaye waamua na udini na ukabila
mkuu umeongea ukweli ila crdb na IPP wamezidKila mtu akiamua atoe lake la rohoni hakuna atakaebaki salama , cha msingi ni kuvumiliana tu na maisha yaendelee , ukisema kampuni hii waislamu wengi , ni lazima ukumbuke kuna kampuni nyingine ina Wakristo wengi , ukisema sekta hii wamejaa kabila A , kuna sehemu utakuta wamejaa kabila B n.k , na hizi changamoto zinaanzia kwenye Private sector mpaka Public sector , lililobaki ni kuvumiliana tu , kila mtu anajua kama kaajiriwa sehemu anajua ameajiriwa kwa vigwzo vipi , kama ni competence yake , amechukuliwa kwasababu ya kabila lake , au dini yake hilo ni juu yake cha msingi aitetee nafasi aliyopewa , vinginevyo umma utamnyooshea kidole na ataonekana kama alipo anastahili au la , shukrani!