MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,102
Udini na ukabila ndiyo imekuwa mijadala ya JF siku hizi
Yule Ni mwislam mkuu usihadaike na Jina ahahahCharles Hilary yuko wapi mkuu??
Reymond NyamwihulaYule Ni mwislam mkuu usihadaike na Jina ahahah
Wanataka watusahaulusheIssue hapa ni Azam sio mbwembwe hizo
We unaangalia wale wasoma Habari sjui watanoIvona Kamutu na wenzake ni muislam...?
Ndio na hili mimi nililiona kipindi cha mfungo wa ramadhani walitoa ofa kwa watumiaji wa ving'amuzi vya azam miezi mitatu nikasubiri kipindi cha xmass nione pia kimya tu nakuja hawa jamaa wanahudumia waisilamu hii nchi kumbeWanataka watusahaulushe
Shehe unaangalia wanaona kana kwenye skrinReymond Nyamwihula
acha kutetea ujinga kwani ubaguzi unaoonekana njenje huuoniIpp hakunaga udini kule sifa zako zinakupa kazi
Sikiliza redio au angalia Tv kama huwezi Jina la juma
Yule mzee udini umekalia kooni akiona Jina Jose unakosa kazi
na kule ITV mbona hawaruhusiwi kuvaa ushungi?Shehe unaangalia wanaona kana kwenye skrin
Tumesema Waislam Ni 99% na wasio Waislam Ni 1%
Mkuu Tumesema Waislam wameajiriwa 99% na wakristo Ni 1%Hata alipoona jina la Tido Muhando, Charles, Ivona Kamuntu, Suzan na wengine pia aliwakosesha kazi, tena kibaya zaidi akawapa kazi za utawala wa juu... mna matatizo sana ndugu zetu wa upande wa kushoto (Shimali). Mlilalamika sana kuhusu Dau na udini pale NSSF mkafanya mpaka na statistics kujua waislam wangapi na wakirisito wangapi ! MATOKEO MPAKA LEO MMEYAKALIA mligundua nini kwani mpaka MSIYATOE TUONE MALALAMIKO YENU?
Ukienda BOT, CRDB IPP NA SEHEMU LUKUKI wenzetu wapo wengi, lakini wakizidi waislam kwenye kampuni fulani basi imekuwa wadini KWANI MNA NINI ENYI WAKIRISITO WA NCHI HII? hamuoni kwengine kukijaza wakirisito ila waislam wakijaa sehemu basi ni udini MNATAKA WAISLAM WAENDE WAPI NYIE VIUMBE !!!! HII NCHI NI YETU SOTE !!!!
nitajie majina matatu ya waislam hapo IPP tena top managementShehe unaangalia wanaona kana kwenye skrin
Tumesema Waislam Ni 99% na wasio Waislam Ni 1%
Tido Muhando ndiye Afisa Mtendaji Mkuu wa AZAM Tv...sikujua km amesilimu!Charles Hilary yuko wapi mkuu??
sasa huyu Mtanzania mwenzetu mbona naye anatubagua?Huyu mzee arudishwe kwao
Haiwezekan atubague sisi makafiri
Inauma sana kukosa kazi kwasabab ya dini yako