Ndio umekumbukwa sasaUzi titeless kama huu ukumbukwe kwa lipi?
Ndio umekumbukwa sasaUzi titeless kama huu ukumbukwe kwa lipi?
Mnajipa moto humu mnanichekesha na comment zenu subirini jpil atatokea ibadani mtachambwa balaa
Kwa hiyo unamaanisha tumeukumbuka??"Jipeni moyo msichoke, ipo siku mtakuja kukomenti kwa furaha kwenye huu Uzi, hakuna jambo lisilo na mwisho, mark my words....". Mwisho wake utafika tu.
Hatujawahi kuishi maisha ya ajabu kama haya, mambo kama haya huwa tunayasikia somalia mwisho wake utafika tu ipo siku tu.
Pablo Blanco
Ila we jamaa mmh[emoji848][emoji848]hazinduki yupo na mashetani now
Aiseeee"Jipeni moyo msichoke, ipo siku mtakuja kukomenti kwa furaha kwenye huu Uzi, hakuna jambo lisilo na mwisho, mark my words....". Mwisho wake utafika tu.
Hatujawahi kuishi maisha ya ajabu kama haya, mambo kama haya huwa tunayasikia somalia mwisho wake utafika tu ipo siku tu.
Pablo Blanco
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mama samia.anaapishwa kesho mara mia tutawaliwe na mwanamke kuliko hilo jiwePumba tupu, eti kumdhuru mtu kisiasa
Kina Ben Saanane walifanya nini
Tundu Lisu Je ?
Melo wa JF kesi kila siku...
Wafanya biashara wote waliofanikiwa waliionekana mashetani
Yaani alitakiwa afe tu ili nchi ipone, nchi ilkuwa hoi taabani.
Narudia ni bora amekufa, tena bora sana
Wamzike haraka sana tumsahau kabisa,
hatmae imefika!Nasubiri siku ya kukumbuka
Nimefurahi sana kwa historia ya nchi sasa tuna Rais Mwanamke[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mama samia.anaapishwa kesho mara mia tutawaliwe na mwanamke kuliko hilo jiwe
kuna mapumbavu yanalia wakati jitu lilikuwa linajenga chuki miongoni mwa watanzaniaAlikuwa muuaji jitu roho mbaya kama ibilisi
ameharibu sana nchi huyu bora amekufa tumsahau kabisa.alikuwa anaenda kusababisha hata vita mbele huko[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mama samia.anaapishwa kesho mara mia tutawaliwe na mwanamke kuliko hilo jiwe
ameharibu sana nchi huyu bora amekufa tumsahau kabisa.alikuwa anaenda kusababisha hata vita mbele hukoPumba tupu, eti kumdhuru mtu kisiasa
Kina Ben Saanane walifanya nini
Tundu Lisu Je ?
Melo wa JF kesi kila siku...
Wafanya biashara wote waliofanikiwa waliionekana mashetani
Yaani alitakiwa afe tu ili nchi ipone, nchi ilkuwa hoi taabani.
Narudia ni bora amekufa, tena bora sana
Wamzike haraka sana tumsahau kabisa,