Ipo siku mtaukumbuka huu uzi

Ipo siku mtaukumbuka huu uzi

Kwa yaliokua yanaendelea,

Kulikua HAMNA namna JIWE angetoka madarakani leo Wala kesho.

Na huu msoto ungeendelea hivi miaka na miaka, na tungegeuka kua Kama Ethiopia.

Kuikimbia nchi Ingekua Jambo la kawaida kwa mtz yeyote.

Kifo ndo ilikua option pekee ya kumpunguza Kasi mweshimiwa.

Na mungu,
Muumba wa mbingu na ardhi amejibu maombi ya wanyonge.

Kwanini tusimsifu bwana kwa hili.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina comment kwa furaha.. hatimae mwisho wa mtesi wetu umefika. We rejoice!🎺🎻🪕🎸🎷🍾👏👍🍰🥤
 
Kwa yaliokua yanaendelea,

Kulikua HAMNA namna JIWE angetoka madarakani leo Wala kesho.

Na huu msoto ungeendelea hivi miaka na miaka, na tungegeuka kua Kama Ethiopia.

Kuikimbia nchi Ingekua Jambo la kawaida kwa mtz yeyote.

Kifo ndo ilikua option pekee ya kumpunguza Kasi mweshimiwa.

Na mungu,
Muumba wa mbingu na ardhi amejibu maombi ya wanyonge.

Kwanini tusimsifu bwana kwa hili.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko mtaani kwenye simu naongoza Kwa kusikitika, Nani anataka kunyea Debe? Ya moyoni nayajua mwenyewe. Wafanyakazi tisio na safari wala marupurupu tunaishi kama mashetani tunadaiwa mpaka kwenye vigenge.
unaishi nao kinafki
 
Dah Meko anaroho mbaya sana kuliko hata ya shetani bora alivyo kufa mbwa yule
akamvua na mbunge maccm yanacheka tu acha na yenyewe yalie saizi yalikua yanachekelea tu ubabe wa magufuli saizi magufuli kiburi kwisha.wapi musiba
 
Kupitia kifo Cha jiwe ndio nimeamini watz sisi Ni watu wanafki Sana tena Sana ,watu walikuwa wanaomba usiku na mchana jiwe aliwe kichwa kwa kutesa Sana wananchi wake hasa wa chini ,Leo hii maombi yametiki mijitu huko istagram et inasikitika mingine had inajirekod inalia .
Binafsi huu msiba nimeuchukulia kawaida Sana Kama ambavyo naichukulia misiba mingine
mzee hizo ganja zinapatikana wapi?
 
CCM WANAMWITA LISU MABAGA FRESH.HAYA SISI TUKIMWITA MAGUFULI MZOGA TUTAKUWA TUNAKOSEA??? HUKU NDIPO ALIPOTUFIKISHA MAGUFULI.

MUNGU AKUBARIKI TUNDU LISSU.NILIK UOMBEA NASHUKURU UMEPONA.MTESI WAKO AMESHAKUFA.SAHAU YALIYOPITA SONGA MBELE.WEWE NI MWANASIASA MKUBWA SANA TENA MWENYE VISION KUBWA SANA.NAAMINI UTAFANYA MAKUBWA .MUNGU AKUBARIKI
FB_IMG_1615464140537.jpeg
 
"Jipeni moyo msichoke, ipo siku mtakuja kukomenti kwa furaha kwenye huu Uzi, hakuna jambo lisilo na mwisho, mark my words....". Mwisho wake utafika tu.

Hatujawahi kuishi maisha ya ajabu kama haya, mambo kama haya huwa tunayasikia somalia mwisho wake utafika tu ipo siku tu.

Pablo Blanco
UFANYE HAYA YOTE AFU UPITE HIVI HIVI AFADHALI HILI SHETANI LIMEKUFA.KATUHARIBIA SANA NCHI HUYU HALAFU MACCM YANACHEKA TU.SAIZI MAGUFULI KIBURI KWISHAAAA KIKO WAPI MAGUFULI????
FB_IMG_1615464149431.jpeg
 
Kuna wat mnafurahi mnadhani kufa ni karamu au sio
 
Back
Top Bottom