Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,152
- 29,819
Hata kama mtu humpendi, akiwa katiba taabu mwombee apone ili ajisahihishe.Kuna kipindi watu walispeculate hivi hivi afu akaamka,alikuwa kachokaa,kanyongea anaapisha watu Ikulu.Nusu nizimie ndio maana sishabikii japo I wish I could be IGP!