Ipo siku mtaukumbuka huu uzi

Ipo siku mtaukumbuka huu uzi

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐Ÿบ๐ŸบNi
 
hahaaa!!saizi magufuli ashasahaulika mama samia ndo boss now naona anakagua gwaride huku akitingisha wowowo alilojaaliwa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] saizi habari ya mjini ni samia magufuli zilipendwa
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]

Sio zilipendwa tuu niii. Tuupaa kueeeee

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wew
"Jipeni moyo msichoke, ipo siku mtakuja kukomenti kwa furaha kwenye huu Uzi, hakuna jambo lisilo na mwisho, mark my words....". Mwisho wake utafika tu.

Hatujawahi kuishi maisha ya ajabu kama haya, mambo kama haya huwa tunayasikia somalia mwisho wake utafika tu ipo siku tu.

Pablo Blanco
Wewe ni nabiii?
 
tupilia mbali kabisa ndege zote tunazipiga mnada.uwanja wa chato tunawapa wasukuma wafugie ngo'mbe
 
"Jipeni moyo msichoke, ipo siku mtakuja kukomenti kwa furaha kwenye huu Uzi, hakuna jambo lisilo na mwisho, mark my words....". Mwisho wake utafika tu.

Hatujawahi kuishi maisha ya ajabu kama haya, mambo kama haya huwa tunayasikia somalia mwisho wake utafika tu ipo siku tu.

Pablo Blanco
Eeee bhana eeee
 
Sio mitano tena?
mitano tena kaburini huwezi ukafanya upumbavu halafu upite hivi hivi[emoji2][emoji2]
FB_IMG_1615464126808.jpeg
 
Kupitia kifo Cha jiwe ndio nimeamini watz sisi Ni watu wanafki Sana tena Sana ,watu walikuwa wanaomba usiku na mchana jiwe aliwe kichwa kwa kutesa Sana wananchi wake hasa wa chini ,Leo hii maombi yametiki mijitu huko istagram et inasikitika mingine had inajirekod inalia .
Binafsi huu msiba nimeuchukulia kawaida Sana Kama ambavyo naichukulia misiba mingine
 
hahaaa!!saizi magufuli ashasahaulika mama samia ndo boss now naona anakagua gwaride huku akitingisha wowowo alilojaaliwa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] saizi habari ya mjini ni samia magufuli zilipendwa
[emoji3][emoji3][emoji3]eti wowowo
 
Kupitia kifo Cha jiwe ndio nimeamini watz sisi Ni watu wanafki Sana tena Sana ,watu walikuwa wanaomba usiku na mchana jiwe aliwe kichwa kwa kutesa Sana wananchi wake hasa wa chini ,Leo hii maombi yametiki mijitu huko istagram et inasikitika mingine had inajirekod inalia .
Binafsi huu msiba nimeuchukulia kawaida Sana Kama ambavyo naichukulia misiba mingine
Ndugu unapaswa kuelewa maisha ya Insta, kuna kampeni inafanywa kwenye magroup ya wasup ya hao wasanii wenu mavimavi kuwataka wafuasi wao kupost kuonesha majonzi, magroup hayo ni yaleyale yalitumika kuwataka wafuasi wao kuwaponda wapinzani ile siku wamepanga maandamano baada ya uchaguzi, kuna watu wana account tano na zote wanapost ujinga.
 
Kupitia kifo Cha jiwe ndio nimeamini watz sisi Ni watu wanafki Sana tena Sana ,watu walikuwa wanaomba usiku na mchana jiwe aliwe kichwa kwa kutesa Sana wananchi wake hasa wa chini ,Leo hii maombi yametiki mijitu huko istagram et inasikitika mingine had inajirekod inalia .
Binafsi huu msiba nimeuchukulia kawaida Sana Kama ambavyo naichukulia misiba mingine
Huko mtaani kwenye simu naongoza Kwa kusikitika, Nani anataka kunyea Debe? Ya moyoni nayajua mwenyewe. Wafanyakazi tisio na safari wala marupurupu tunaishi kama mashetani tunadaiwa mpaka kwenye vigenge.
 
Back
Top Bottom