Ipo siku mtaukumbuka huu uzi

Ipo siku mtaukumbuka huu uzi

Sikufikiria hata siku moja itakuja kwa watanzania, kufurahia kifo cha Rais wa Nchi
Lazima itakuwa na ukweli ndani yake kuwa, huyu si mtu mzuri., hata mimi kuna furaha fulani imenipata japo na matatizo kibao binafsi.

Na mimi siogopi kufa hata iwe leo poa tu, lakini nitakufa na kafuruha fulani hivi ndani yake., Phweeeeeeh.........
Yaani nchi ilibadilika mno na kujawa hofu kila kona miaka ya nyuma karibuni, mpaka unahisi hata wa karibu wako watakuchomea ili mradi upukutishwe........

Good Riddance (Time of Your Life)- GreenDay​

Another turning point
A fork stuck in the road
Time grabs you by the wrist
Directs you where to go
So make the best of this test
And don't ask why
It's not a question
But a lesson learned in time.

It's something unpredictable
But in the end it's right
I hope you had the time of your life

So take the photographs
And still frames in your mind
Hang it on a shelf
In good health and good time
Tattoos of memories
And dead skin on trial
For what it's worth
It was worth all the while

Huwezi kuwa na hofu kama haufanyi kitu cha kumduru mtu mwingine, Kimwili, kiafya, kijamii au kisiasa.

Hofu ni tokeo la kufanya yasiyofaa, iwe sirini au mwangani. Na ukiona unasema wazi unafurahia ubaya unapompata mwingine ni muda wa kumuona Clinical Psychologist. Something ain't right!
 
"Jipeni moyo msichoke, ipo siku mtakuja kukomenti kwa furaha kwenye huu Uzi, hakuna jambo lisilo na mwisho, mark my words....". Mwisho wake utafika tu.

Hatujawahi kuishi maisha ya ajabu kama haya, mambo kama haya huwa tunayasikia somalia mwisho wake utafika tu ipo siku tu.

Pablo Blanco

Hayawi hayawi, huwa.

Wataalamu huita akili kubwa.
 
Huwezi kuwa na hofu kama haufanyi kitu cha kumduru mtu mwingine, Kimwili, kiafya, kijamii au kisiasa.

Hofu ni tokeo la kufanya yasiyofaa, iwe sirini au mwangani. Na ukiona unasema wazi unafurahia ubaya unapompata mwingine ni muda wa kumuona Clinical Psychologist. Something ain't right!
Pumba tupu, eti kumdhuru mtu kisiasa
Kina Ben Saanane walifanya nini
Tundu Lisu Je ?
Melo wa JF kesi kila siku...
Wafanya biashara wote waliofanikiwa waliionekana mashetani

Yaani alitakiwa afe tu ili nchi ipone, nchi ilkuwa hoi taabani.
Narudia ni bora amekufa, tena bora sana
Wamzike haraka sana tumsahau kabisa,
 
Mbona mambo hayapo wazi. Kama Somalia kivp apo kila mtu atatafsir kivyake. Mwengine anaweza akawaza kitu tofauti kabsa na unavyowaza
 
Huu uzi ni wakushonea viazi vitokavyo Mbeya vifikapo mjini basi kila mmoja husau kufingashio na kukidhamini kilichopo ndani....

Mawazo yake ayana tofauti na dada yako Mange
 
Huu uzi ni wakushonea viazi vitokavyo Mbeya vifikapo mjini basi kila mmoja husau kufingashio na kukidhamini kilichopo ndani....

Mawazo yake ayana tofauti na dada yako Mange
Huu uzi wa katani kabisa
 
Back
Top Bottom