Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Ni wewe kweli shululu?! Pole na msibaNdio wiki hii sasa
Ni wewe kweli shululu?! Pole na msibaNdio wiki hii sasa
Today.Nasubiri siku ya kukumbuka
Wana wanywe bia (WWB)"Jipeni moyo msichoke, ipo siku mtakuja kukomenti kwa furaha kwenye huu Uzi, hakuna jambo lisilo na mwisho, mark my words....". Mwisho wake utafika tu.
Hatujawahi kuishi maisha ya ajabu kama haya, mambo kama haya huwa tunayasikia somalia mwisho wake utafika tu ipo siku tu.
Pablo Blanco
Ulioteshwa?Uzi umefukuliwa tayari, lakini bado, nafkiri tutaukumbuka zaidi wiki ijayo
![]()
Ndio hii je upo hai?Nasubiri siku ya kukumbuka
Mungu hutenda katika namna ya pekee, je upo hai uje usome comment yako?Uzi titeless kama huu ukumbukwe kwa lipi?
Na sasa wote ni wafu!Kipindi unaandika,hawa wote walikua hai,leo amebaki mmoja,hakika hakuna lisilo na mwishoView attachment 1723593
Embu rudi uchungulie kidogo kama uko haiNipo kwenye msongo wa mawazo na matatizo sjui yataisha lini
Leo tarehe 12/3/2021
Nitarudi 1 /1/2022
Kukumbuka huu uzi
"Jipeni moyo msichoke, ipo siku mtakuja kukomenti kwa furaha kwenye huu Uzi, hakuna jambo lisilo na mwisho, mark my words....". Mwisho wake utafika tu.
Hatujawahi kuishi maisha ya ajabu kama haya, mambo kama haya huwa tunayasikia somalia mwisho wake utafika tu ipo siku tu.
Pablo Blanco
"Jipeni moyo msichoke, ipo siku mtakuja kukomenti kwa furaha kwenye huu Uzi, hakuna jambo lisilo na mwisho, mark my words....". Mwisho wake utafika tu.
Hatujawahi kuishi maisha ya ajabu kama haya, mambo kama haya huwa tunayasikia somalia mwisho wake utafika tu ipo siku tu.
Pablo Blanco
26.04.20.....
Hatimaye yametimia
Bro niaje?Uzi titeless kama huu ukumbukwe kwa lipi?
UZI WA MUNGU HUUUzi wa kichawi tu, uchawi mtupu!
Nakomenti kimoyomoyo"Jipeni moyo msichoke, ipo siku mtakuja kukomenti kwa furaha kwenye huu Uzi, hakuna jambo lisilo na mwisho, mark my words....". Mwisho wake utafika tu.
Hatujawahi kuishi maisha ya ajabu kama haya, mambo kama haya huwa tunayasikia somalia mwisho wake utafika tu ipo siku tu.
Pablo Blanco
Nasubiri siku ya kukumbuka

Bravo kaka, haya ndiyo maono !!"Jipeni moyo msichoke, ipo siku mtakuja kukomenti kwa furaha kwenye huu Uzi, hakuna jambo lisilo na mwisho, mark my words....". Mwisho wake utafika tu.
Hatujawahi kuishi maisha ya ajabu kama haya, mambo kama haya huwa tunayasikia somalia mwisho wake utafika tu ipo siku tu.
Pablo Blanco