Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,650
- Thread starter
- #221
sasa kwanini hampendi kuongea ukweli?Usiwaze kabisa kuhusu mitandao mkuu ukweli uko mioyoni mwetu ungeona nnavosikitika hadharani ungesema nimefiwa na baba yangu hahahahaaaa Watz unafki ni kipaji chetu madhubuti kabisaa

