Ipo siku mtaukumbuka huu uzi

Ipo siku mtaukumbuka huu uzi

Mkeka umechanikaaa
Lakin Bro Thomasso tuendelee au tuvunge hadi tuguse kama kawaida yetu🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
"Jipeni moyo msichoke, ipo siku mtakuja kukomenti kwa furaha kwenye huu Uzi, hakuna jambo lisilo na mwisho, mark my words....". Mwisho wake utafika tu.

Hatujawahi kuishi maisha ya ajabu kama haya, mambo kama haya huwa tunayasikia somalia mwisho wake utafika tu ipo siku tu.

Pablo Blanco
Blanco haulimi matikiti siku hizi? Atazinduka tu.
 
Mnh!!! Uzi wa motoo

Kama umetoka leo..kweli hii ndio fasihi andishi haifi

N.B
Mi Napita tu:
 
"Jipeni moyo msichoke, ipo siku mtakuja kukomenti kwa furaha kwenye huu Uzi, hakuna jambo lisilo na mwisho, mark my words....". Mwisho wake utafika tu.

Hatujawahi kuishi maisha ya ajabu kama haya, mambo kama haya huwa tunayasikia somalia mwisho wake utafika tu ipo siku tu.

Pablo Blanco
Tucheki wikiendi hii itakuwaje.
 
Nipo kwenye msongo wa mawazo na matatizo sijui yataisha lini

Leo tarehe 12/3/2021

Nitarudi 1 /1/2022

Kukumbuka huu uzi
 
"Jipeni moyo msichoke, ipo siku mtakuja kukomenti kwa furaha kwenye huu Uzi, hakuna jambo lisilo na mwisho, mark my words....". Mwisho wake utafika tu.

Hatujawahi kuishi maisha ya ajabu kama haya, mambo kama haya huwa tunayasikia somalia mwisho wake utafika tu ipo siku tu.

Pablo Blanco
Bado mnapigika toka 2018 dah..
 
Back
Top Bottom