winnerian
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 407
- 634
Ujue tatizi kubwa sana ni wananchi wa Tanzania. Wamekubali na kuridhia kuliwa kwa namna yeyote ile mlaji anvyotaka na sio kwasababu hawajui ila ni wavivu wa kujishughulisha na mambo yao wenyewe. Ndio maana hivi karibuni kabla ya uchaguzi unaenda kutokea mwezi wa 10 mwaka huu 2025 kumeibuka kundi kubwa la walalamikaji wanaojiiweka kwenye nafasi ya kuwaambia wenzao namna nchi inavyoliwa baada ya wao kutolewa kwenye ulaji na hakuna mtu ana time ya kuchukua hatua badala yake ibakia kama tamthilia ya mwendelezo. Kwamba episode ijayo itakuwa tamu sana.
Watanzania ni ngumu kuwatetea kwakua hawana wanachokitaka na ni wavivu sana kushughulikia mambo yao.
Sasa ushauri wangu na wito kwa wale wanawala watanzania. Waleni kwa akili basi ili muendelee kuwala kwa muda mrefu. Halafu watunzeni ili wawe watamu. Mtakulaje watu ambao sio watamu. (Wapeni maendeleo)