Ipo nane nane mwanza kumbe tunaweza

Ipo nane nane mwanza kumbe tunaweza

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
car4.jpgUkifika kwenye maonyesho ya nane nane Mwanza Eneo la Nyamongoro utakutana na hii kitu.
 
ina matairi ya toroli zile wanazozolea taka....kumbe tunaweza hahahahah
 
Nonsense …vitu vya hivyo vilitengenezwa enzi za ujima!
 
Inafaa sana kwa akina mama hasa kwa safari za sokoni kununua nyanya na vitunguu saum.
 
Hivi sasa tupo kwenye wakati wa kushangaa dolly kweli?
 
ni bajaji nzuri sana hiyo.kumbe bajaji ndege zipo.
 
Wamejitahidi sana kuunda chombo, wanastahili pongezi
 
kwahiyo hicho kidude kinalima, kinapalilia au... maana ni maonyesho ya wakulima
 
Watu tunavyoponda bwana. Sijui ndo maana hatuendelei
 
Back
Top Bottom