Kuruka unaweza kutoka chini kwenda juu au kinyume chake lakini kupaa ni tendo la kutoka chini kwenda juu tuu
Kwa hiyo kuruka na kuanguka ni sawa?
Kuruka unaweza kutoka chini kwenda juu au kinyume chake lakini kupaa ni tendo la kutoka chini kwenda juu tuu
Sasa nimekuelewa, mimi nilijua sabasaba ya wakulima.acha uzushi... saba saba ni ya wafanyabiashara
kwahiyo hicho kidude kinalima, kinapalilia au... maana ni maonyesho ya wakulima
View attachment 175995Ukifika kwenye maonyesho ya nane nane Mwanza Eneo la Nyamongoro utakutana na hii kitu.
Nini tofauti ya kuruka na kupaa?
Maana ya kuruka unaweza kuruka mtaro, kamba, viunzi na kadhalika, na kupaa manake unapaa angani, bibie kama haujaridhika na majibu yangu tunao BAKITA kwa msaada na tafsiri zaidi