Ipo haja kubwa kubambana na uonevu wa vyombo vya dola kwa njia mbadala

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Watanzania tumechoshwa na manyanyaso ya vyombo vya dola hasa polisi. Kila kukicha watu kupigwa risasi, kubambikiwa kesi na kuuliwa bila makosa.

Hatuoni hatua stahiki zinazochukuliwa au adhabu kwa wanaofanya haya makosa.

Wazee mlioko Rukwa, Kigoma, Handeni na Lushoto tunaomba mtusaidie, maana mahakamani haki haipatikani,wao polisi wanalindana. Kwa hiyo natoa ombi kwa wazee wa mikoa hii mtusaidie maana tumechoka.
 
Majambazi na drug dealer do wanafanyiwa hvo , kama na we ni jambaz au ndugu yako ni jambazi hasa wa kutumia silaha mjiandae, kwa hili mimi nawaunga mkono Polisi....tena nakuongezea kabla ya kuwawasha risasi , wanabinywa pumbu Kwanza na kukanyaga misumari ili wataje wenzao wote , af badae utawakuta kwenye viroba wanaelea , ustegemee kukuta kesi ya uvamizi wa kutumia silaha mahakamani
 
Majambazi na drug dealer do wanafanyiwa hvo , kama na we ni jambaz au ndugu yako ni jambazi hasa wa kutumia silaha mjiandae ...Kwa hili Mimi nawaunga mkono polisi
Kuna watu wanauwawa hata sio majambazi. Ipo siku ndugu yako yatamkuta alafu ndio utakuja kujifunza kuwa hawa jamaa wanaonea watu sana.
 
Yeye mwenyewe anaweza kuwa mmojawapo wa wale jamaa waliokuwa wakipenyeza kura za mabegi, kusudi huyu jamaa yao apate Urais kwa kura za wizi
 
Watanzania tumechoshwa na manyanyaso ya vyombo vya dola hasa polisi. Kila kukicha watu kupigwa risasi, kubambikiwa kesi na kuuliwa bila makosa.

Hatuoni hatua stahiki zinazochukuliwa au adhabu kwa wanaofanya haya makosa.

Wazee mlioko Rukwa, Kigoma, Handeni na Lushoto tunaomba mtusaidie, maana mahakamani haki haipatikani,wao polisi wanalindana. Kwa hiyo natoa ombi kwa wazee wa mikoa hii mtusaidie maana tumechoka.
Hata wao wanatafunwa sn na guvu za giza labda hufuatilii vyombo vya habari
 
Vyombo vya dola!
Dpmw-LYXUAAsrws.jpg
 
Mahakama hizi hizi au za FIFA?
Mmewatukana Mahakama weee hadi wao na Familia zao wakawanyima kura,mkatukana vyombo vya Dola weee hadi wao na familia zao wakawanyima kura ,mkatukana serikali weee hadi Wafanyakazi wa Serikali na Familia zao wakawanyima kura,mkatukana tume na wafanyakazi wake weeee hadi wao na Familia zao wakawanyima kura halafu baadaye mnakuja kubweka ohhh CCM hawakushinda kihalali!!!
 
Mimi naomba wazee wa Rukwa, Kigoma, Katavi, Lushoto na Kigoma wafumue kituo kimoja wadondoke kama 30 iwe mfano.
Huko kote wazee ndio waliwadondosha nyie Upinzani sanduku la kura baada ya kuona mnakumbatia Uzungu AMSTERDAM zaidi kuliko uswahili kila saaa ohh Wazungu watatusaidia wakaona watumie teknolojia kuwabwaga chini sanduku la kura ili muendelee na uchawi wenu wa kizungu mnaoutegemea
 
mumewatukana mahakama weee hadi wao na familia zao wakawanyima kura,mkatukana vyombo vya dola weee hadi wao na familia zao wakawanyima kura ,mkatukana serikali weee hadi wafanyakazi wa serikali na familia zao wakawanyima kura,mkatukana tume na wafanyakazi wake weeee hadi wao na fam,ilia zao wakawanyima kura halafu baadaye mnakuja kubweka ohhh CCM hawakushinda kihalali!!!
Hakukuwa na Uchaguzi pale, ni uchafuzi tu
 
Watanzania tumechoshwa na manyanyaso ya vyombo vya dola hasa polisi. Kila kukicha watu kupigwa risasi, kubambikiwa kesi na kuuliwa bila makosa.

Hatuoni hatua stahiki zinazochukuliwa au adhabu kwa wanaofanya haya makosa.

Wazee mlioko Rukwa, Kigoma, Handeni na Lushoto tunaomba mtusaidie, maana mahakamani haki haipatikani,wao polisi wanalindana. Kwa hiyo natoa ombi kwa wazee wa mikoa hii mtusaidie maana tumechoka.
Hivi kwa nini Watanzania tunawaza upotofu Nchi yetu ina Rais msikivu kwa nini mnalalamika pembeni afu kama kweli unaonewa nenda na ushahidi wako kaseme kwa wenye dhamani tusiwe wanafiki wakulalamika tubadilike sasa ni wakati wa kazi
 
Back
Top Bottom