mgangawaukoo JF-Expert Member May 8, 2016 2,183 2,388 May 15, 2017 #3 Hiyo namba 6 akiwa na mwanaume si atampa majaribu mwisho shetani ampitie bure!
S St Lunatics JF-Expert Member Aug 29, 2015 6,644 11,166 May 15, 2017 #4 Namba 1 lakini nikiwa kwenye Sofa sio kitandani. Sikumbuki kuwa na simu juu ya kitanda Ndukiiiii
B Blue Iron JF-Expert Member Feb 23, 2017 497 301 May 15, 2017 #5 Namba 6 noma, mpaka umalize kuchat shingo lazima ivunjike.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 278,618 1,128,563 May 15, 2017 #6 1 nikiwa bored 2 nikiwa na huzuni sana(kukata tamaa) 3 nikiwa naangalia video ndefu kwa simu(movie)
M mang'ang'a JF-Expert Member Oct 18, 2010 828 379 May 15, 2017 #11 Maserati said: 2,3,4 & 5 Click to expand... upo vizuri, 1na 5 zi pozi lilelile
gollocko JF-Expert Member Dec 20, 2011 2,945 2,280 May 15, 2017 #13 No sita ni dalili za kupoteza marinda
Ramea JF-Expert Member Mar 19, 2015 2,146 4,071 May 15, 2017 #14 Hapa nipo namba 1 namsubiri wife yupo bafuni.
Pythagoras JF-Expert Member Sep 24, 2013 1,913 4,935 May 15, 2017 #16 namba 6 anatuma SMS ya kumtokea dem mlokole labda
Salahan JF-Expert Member Sep 10, 2014 2,963 3,675 May 16, 2017 Thread starter #17 Somji Juma said: 1 na 5 zina tofauti gani.? Click to expand... 5 miguu ukutani
Salahan JF-Expert Member Sep 10, 2014 2,963 3,675 May 16, 2017 Thread starter #18 mang'ang'a said: upo vizuri, 1na 5 zi pozi lilelile Click to expand... Nop 5 miguu ukutani
Salahan JF-Expert Member Sep 10, 2014 2,963 3,675 May 16, 2017 Thread starter #19 Paprika said: Hamna nnazotumia hapo Click to expand... Itakuwa unasimama wima kama sikosei