Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,551
- 49,434
Kuna tafsiri nyingi ya neno hili lakini tafsiri hutofautiana kutokana na mtu anayelitamka.
Kuvuruga amani maana yake ni kitendo cha kuwafungua akili wananchi na kuwaeleza kuwa rasilimali zenu zinaliwa na watu wachache amkeni.
Yes, wakiamka kwa mazingira hayo amani haiwezi kutulia lazima waivuruge.
Jamani tusivuruge amani.