Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,032
Magari Tu yani kulipa 100,000 niendeshe Prado 2015 sio hatari
Pass me the hookahBangi pombe hip hop meditation na comedy
Na kuwachambua kina Pascalina kama karanga...tehstarehe yangu ni pale nnapoingiza hela mingi
[emoji12][emoji12]Sex, cooking, music.....
Hahaaa!! Kweli kabisa.Na kuwachambua kina Pascalina kama karanga...teh
Selfie( punyeto), music( fally ipupa,ferre gola) ....najihisi Niko dunia ya 10
Haina madhara bro!!! thanx nitasikiliza sasa hv nasikiliza vita imana remix ya ferreselfie ina madhara....leo sikiliza sweet life na associe