Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,414
jikoni hapo tu?Dogo hebu nenda jikoni.
aende sokoni kabisa
jikoni hapo tu?Dogo hebu nenda jikoni.
Hebu muagize.jikoni hapo tu?
aende sokoni kabisa
We mwana we!!Eeeh nyie elekeeni chumbani
Nalisubiri hilo shairi, na liambatane na chochote kitu.nipo nakutungua shairi
kabisa hapa, wacha nieleze
urembo wako kwa beti
na urari wa vina
na mizani
aende soko la mabwepandeHebu muagize.
Kumbe magufuli upo humu na user name ni ighombe nmekupata mkuuSALA![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
NA KAZI![]()
![]()
![]()
Huyu ndio wewe sasaNalisubiri hilo shairi, na liambatane na chochote kitu.
Safi kabisa.aende soko la mabwepande
na apitie kwa uncle bagamoyo .
We jamaa thread zako duh..hata sijaelewa
Usicheke ndio inayonipa rahahahahaha