supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
*Kuchat
*Kuogelea
*Kuangalia Movie
*Kuogelea
*Kuangalia Movie
You need some men?Pass me the hookah
Pass the hookah
Ungeongezea na kucheza game tungefanana 100%Kusikiliza music,dancing na kulala.
Kwan mwanamke hawez selfie...achen ubinafsi bwanaAu ni mwanaume anatumia I'd ya kike?? Sielewi aisee
Sasa mkuu hiyo ni akili yako au ya pombe?Kwa heshima naomba kuwasalimu nyote kwa imani yako, kabila lako, umri wako na cheo pia...
Baada ya salamu naomba kushare na ninyi kama heading inavyojieleza hapo... Nimekaa hapa EXPERIENCE PUB nikipata vyombo, nikaona sio mbaya nikiwauliza na ninyi wana JF "ni ipi haswa starehe yako"
Nataka niachane na pombe... ilaa NOOO! Serikali itakosa mapato maana kwenye mahari hamna VAT ningechangia kupitia njia iyo... sasa ndugu zangu embu niambieni ili niangalie kama ntaweza ku-divert otherwise niendelee kulipa kodi kupitia TBL
Thanks in advance
Jerrymalisa
Na usisome kabisa, usije ukaiga starehe zangu bureeeMi sijasoma
No you must see a biologicianDamn it... kumbe naweza kua addicted eenh! I must see a physician![]()
Wala sitamwambia sweetmangi wako...Na usisome kabisa, usije ukaiga starehe zangu bureee
Na asipaone 😀Wala sitamwambia sweetmangi wako...
Huko kwenye game sipoUngeongezea na kucheza game tungefanana 100%
A little bro!You need some men?
Kwakweli sijaona!A little bro!
Nimekumiss sanaKwakweli sijaona!
Ahaha magame huw yana utam wake mm hata nicpokula mchana ila uck nakula cwez kulala njaa kisa gameHuko kwenye game sipo