Ipi simu kali kati ya Samsung S8+ na Samsung M31

Mkuu hizi picha zimepigwa nyakati tofauti,pia ukiangalia moja ina mti mbele ingine haina,hili kuweza kulinganisha ubora wa picha ni vyema zikapigwa wakati mmoja,sababu ili upate picha nzuri pia muda(mwanga) ni kigezo.
Moja ni simu ya 2017 nyengine 2020, ndio zimepigwa wakati tofauti. Ngumu kupata comparison za simu za 2017 na 2020 zilizofanywa 2020.
 
Shida sio mwaka,ili tuweze kupata ipi bora na ipi ya kawaida. lazima setting ziwe sawa na picha zipigwe wakati mmoja wa siku.
 
So kama simu moja imetoka masika na nyengine kiangazi utafanyaje? Hio ndio best scenario niliyopata, kama una picha nyengine nzuri zaidi ama website unayoiamini unaweza ukaweka.

Na mimi nimecompare tu details, sijafanya comparison ya vitu vyengine ambavyo vinaathirika na mwanga.
 
Naona tunadanganywa na neno FLAGSHIP. Simu ya mwaka 2017 na simu 2020, three years old.

Labda kama mtaleta mada kwamba techology haina improvement ndipo nitakubaliana na kwamba s8+ ni bora kuliko m31.

Kama hii m31 ingekuwa ni toleo la Xiaomi , naona kila mtu angeisifia zaidi kuliko s8+.

Angalia hata hapa wengine huko duniani wanasemaje.
Screenshot_20200603-185105.jpg
Screenshot_20200603-185254.jpg
Screenshot_20200603-185329.jpg

From JF App
 
Naona tunadanganywa na neno FLAGSHIP. Simu ya mwaka 2017 na simu 2020, three years old.

Labda kama mtaleta mada kwamba techology haina improvement ndipo nitakubaliana na kwamba s8+ ni bora kuliko m31.

Kama hii m31 ingekuwa ni toleo la Xiaomi , naona kila mtu angeisifia zaidi kuliko s8+.

Angalia hata hapa wengine huko duniani wanasemaje.View attachment 1467856View attachment 1467859View attachment 1467860

From JF App
Smartprix hata mtu hajahusika kutengeneza hizo score hilo ni bot tu limetengenezwa kucompare. Linacompare ghz badala ya ipc, idadi ya gb badala ya aina za ram, idadi ya mp badala ya quality, idadi ya resolution badala ya quality etc

Nikipata muda nitaenda deep zaidi kitu kimoja kimoja.

Na hata midrange za xiaomi hazifui dafu kwa Flagship labda budget flagship za xiaomi kama k20 pro na blackshark 2.

Achana na s8 mkuu utakuwa suprise hata s7 ni kali kushinda midrange za 2020.
 
Unaposema kali unamaanisha kali ya sasa au kali ya kipindi hicho.

Simu iliyokuwa inaperform vizuri na Android 7 na unaipa score over simu inayoperfom na android 10 ?.

Unajua maana ya improvement , ni both Software and hardware or otherwise tecnolojia inarudi kinyumenyume.

From JF App
 
Sasa mkuu ymollel kwa nini kama m31 ni bora mbona bei yake iko chini zaidi ya s8+?
Naona tunadanganywa na neno FLAGSHIP. Simu ya mwaka 2017 na simu 2020, three years old.

Labda kama mtaleta mada kwamba techology haina improvement ndipo nitakubaliana na kwamba s8+ ni bora kuliko m31.

Kama hii m31 ingekuwa ni toleo la Xiaomi , naona kila mtu angeisifia zaidi kuliko s8+.

Angalia hata hapa wengine huko duniani wanasemaje.View attachment 1467856View attachment 1467859View attachment 1467860

From JF App
 
Sasa mkuu ymollel kwa nini kama m31 ni bora mbona bei yake iko chini zaidi ya s8+?
Hiyo simu ilikuwa flagship ya kipindi hicho. Kwa sasa inabidi kulinganisha bei yake ya sasa na bei ya m31. Ingawa kwa hiyo s8+ uwezekano mkubwa utapata refurbished/used kwa bei inayokaribiana na hiyo m31.

From JF App
 
Unaposema kali unamaanisha kali ya sasa au kali ya kipindi hicho.

Simu iliyokuwa inaperform vizuri na Android 7 na unaipa score over simu inayoperfom na android 10 ?.

Unajua maana ya improvement , ni both Software and hardware or otherwise tecnolojia inarudi kinyumenyume.

From JF App
Ndio maana nikakuambia hilo ni bot linalocompare sababu s8 haina android 7 bali 9 kwa sasa, na ipi ina software bora baina ya Android 10 ya M31 na 9 ya s8 hio ni debate kubwa.

Mfano haya mambo Yapo kwenye software ya s8 lakini huyapati kwenye m31

1. Samsung Dex
Hii ipo exclusive kwenye flagship tu s na note kuanzia 8 mpaka 20 na galaxy fold huikuti kwenye midrange.

2. Image/video stabilization
Stabilization inaweza fanyika kwenye hardware (optical) ama kwenye software (electronic). S8 inazo zote ila m31 haina stabilization

3. Certificates mbalimbali
M31 ina kioo cha Hdr ila ukiingia youtube sasa hivi huletewi video ya Hdr sababu haina Drm Certificate husika, hili pia lina Apply kwenye flagship nyingi za kichina, ila top Phones kama s8 na flagship nyengine certificate kama hizi zinawekwa.

Kuna mambo mengi ya software kama vile always on Display, security, uwezo wa kusave picha kama raw files etc.

Hivyo unakuta una Android 10 kwenye midranger ila feature wise android 9 ya flagship inakuwa nzuri.
 
Back
Top Bottom