project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,166
- 1,532
Natumaini Ni wazima naomba kujua simu ipi Ni nzuri zaidi Kati ya hizo mbili
Samsung S8+
Samsung M31
Samsung S8+
Samsung M31
s8+ usifananisha na huo upuuzi hiy S series ndo babalao ya samsung zote narudia tena usifananishe na huo upuuzi kwa namna yoyote ile mawaz ya mtu yaheshimiweNatumaini Ni wazima naomba kujua simu ipi Ni nzuri zaidi Kati ya hizo mbili
Natumaini Ni wazima naomba kujua simu ipi Ni nzuri zaidi Kati ya hizo mbili
Mkuu mbona m31 naona imeizidi s8+ vitu vingi tu mfano processor ya m31 Ni exynos 9886 Hulu ya s8+ Ni exynos 8891 battery ya m31 Ni kubwa zaidi ya s8+s8+ usifananisha na huo upuuzi hiy S series ndo babalao ya samsung zote narudia tena usifananishe na huo upuuzi kwa namna yoyote ile mawaz ya mtu yaheshimiwe
kweny swala la battery nitakubali ila sitakubali kweny swala la performance inaizid s8+ never ni ngumu mkuu yani s8 ni mtambo huo wala usijiuliz mara mbili S series ina beat samsung model zingine kwa vitu vingi mno hat note series bado hazion ndaniMkuu mbona m31 naona imeizidi s8+ vitu vingi tu mfano processor ya m31 Ni exynos 9886 Hulu ya s8+ Ni exynos 8891 battery ya m31 Ni kubwa zaidi ya s8+
kama unatak kuchukua simu inayokaa chaji chukua hiy m31 ila s8 all the wayBado m31 Ina andoid 10 kwa hapo unasemaje
Ndio hapo Sasa mkuu"Exynos 9611 chipset, 6000 mAh battery, 128 GB storage, 6 GB RAM, 32 MP Front Camera front camera without front Flash also includes a 64MP f1.8 primary camera with a Quad Bayer array", haya leta sasa hiyo S8+ yako!
aisee6000 mAh battery
Ongea kote ila S-series vs Note-series(Same #/Yr).kweny swala la battery nitakubali ila sitakubali kweny swala la performance inaizid s8+ never ni ngumu mkuu yani s8 ni mtambo huo wala usijiuliz mara mbili S series ina beat samsung model zingine kwa vitu vingi mno hat note series bado hazion ndani
"Exynos 9611 chipset, 6000 mAh battery, 128 GB storage, 6 GB RAM, 32 MP Front Camera front camera without front Flash also includes a 64MP f1.8 primary camera with a Quad Bayer array", haya leta sasa hiyo S8+ yako!
By Far S8+ ni simu bora kuliko M31, nitajaribu kuweka baadhi ya mambo tulinganishe.Natumaini Ni wazima naomba kujua simu ipi Ni nzuri zaidi Kati ya hizo mbili
Good saana, wengi wanaamini katika quantinty kuliko qualityBy Far S8+ ni simu bora kuliko M31, nitajaribu kuweka baadhi ya mambo tulinganishe.
1. Display
-m31 display yake ni Amoled ya kawaida full HD
-s8+ display yake ni HDR10 ambayo inamake difference kwenye quality compare na kioo cha kawaida na pia resolution yake imezidi full hd ni Quad HD 1440p.
2. Perfomance
-m31 ni midrange ina uwezo wa kati
-s8+ ni flagship ina uwezo wa juu
Ukitaka kujua gape la perfomance angalia graphics (gpu) m31 ina mali g72 mp3 na s8+ ni Mali G71 Mp20 hizo mp ni kama core kwenye graphics s8 zipo 20 m31 zipo 3 unaona gape lilivyo kubwa.
3. Uwezo wa Internet
Sababu s8 ni flagship pia uwezo wa internet ni Mkubwa yenyewe ina Gigabit lte compare na Lte Advance ya M31, kwenye mitandao kama Halotel inayotumia MiMo utaona difference kubwa ya Speed.
4. Camera
Hizo Mp zisikudanganye still hio 12mp ya s8 ipo vyema kuliko 64mp ya M31, hata ukiangalia ukubwa wa Pixel s8 pixel zake ni kubwa, ukija kwenye video ndio kabisa s8 inachuku video kwa fps nyingi na Hadi slow motion inafanya kazi vizuri.
5. Connectivity
Kwenye s8 kuna connectivity za kisasa, usb 3.1 kwenye s8 compare na usb 2.0 ya m31, kwenye s8 utakuta vitu kama Aptx kwa ajili ya Headphone na speaker za kisasa vitu ambavyo kwenye m31 huvipati.
6. Features mbalimbali
Vitu kama iris scanner, water proof, samsung dex, Ant+ utavikuta kwenye s8 ila kwenye M31 huvikuti.
Kitu pekee ambacho m31 inacho kikubwa ni battery, hata hio software ni debate kama android 9 ya s8 na 10 ya m31 zinaweza kufanana features.
Mkali haswa hata Mimi nimeshindwa kuamuwaHuu mpambano mkali