Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,191
- 46,235
Kumbe S8+ imetoka 2014??..amaizing staffnimeupenda sana huu mjadala,natumia s8+ 6years now hakika ni simu nzuri mno
Kumbe S8+ imetoka 2014??..amaizing staffnimeupenda sana huu mjadala,natumia s8+ 6years now hakika ni simu nzuri mno
Hiyo S8 sijui ni ya kampuni ganiKumbe toka 2017 ilipotpka mpaka sasa ni 6 years????
mkuu kwa kawaida flagship huwa zinatengenezwa kumatch mahitaji hata ya miaka 4 mbele.ndio maana ni nadra sana kujuta ukitumia s6 mwaka huu kuliko kutumi j7.labda kama in tatizo la awali.Unaposema kali unamaanisha kali ya sasa au kali ya kipindi hicho.
Simu iliyokuwa inaperform vizuri na Android 7 na unaipa score over simu inayoperfom na android 10 ?.
Unajua maana ya improvement , ni both Software and hardware or otherwise tecnolojia inarudi kinyumenyume.
From JF App
Mi nazifahamu kwa kiasi kikubwa maana muda mwingi napenda kusoma sana technolojia za simu, ndo maana nimesema kuwa, WATANZANIA WENGI TUNAPENDA QUANTITY (UWINGI,UKUBWA,UZAJO) BADALA YA QUALITY (UBORA)Mm hata nikitaka kununua simu...hela namkabidhi tu chief mkwawa kwa haya mambo sio mbobezi tu bali amekubuhu kabisa.
na tecno wamewashtukia wanawababua si kawaida.Mi nazifahamu kwa kiasi kikubwa maana muda mwingi napenda kusoma sana technolojia za simu, ndo maana nimesema kuwa, WATANZANIA WENGI TUNAPENDA QUANTITY (UWINGI,UKUBWA,UZAJO) BADALA YA QUALITY (UBORA)
Kumbe toka 2017 ilipotpka mpaka sasa ni 6 years????