Hivi kuna maeneo ya ovyo kama Mbagala? Hakuna ustaarab kabisa

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,028
17,967
Hivi kuna maeneo ya hovyo kama Mbagala?

Kujenga mbagala ni kuukaribisha uswahili hapastahili kuitwa Dar

Hili eneo halistahili kabisa kuitwa Dar pangehamishiwa mkoa wa Pwani tu hapastahili kabisa kuwa Dar

Wakazi wake hawana ustaarabu kabisa ni sehemu ya ovyo kabisa

Kwa makazi ya familia na makuzi ya watoto hapafai labda ujenge nyumba upangishie tu au frem za biashara maana kuna idadi kubwa ya watu

Ni sehemu ambayo usafiri ni wa shida, fujo fujo tu, ustaarabu zero

Kiufupi mbagala na baadhi ya maeneo ya Temeke sio rafiki kwa kuishi watu kabisa

Mbagala mtu anayejielewa hawezi kutamba kujenga huko

Waliojenga huko Mmbande, Chamazi na mbagala kote huko na hii njia ya kusini wengi wanasimulia majanga na kero wanazokutana nazo kila siku

Mimi nilivyokomaa kununua Goba kipindi hicho baadhi ya rafiki zangu na jamaa zangu walinicheka,na wengine wakanambia siwezi wakawa wanafurahia walivyonunua viwanja wa bei nafuu huko Chamazi, Vkindu,mbagala mmbande na Temeke matokeo yake sasa yanaonekana ni nani anayeishi sehemu nzuri na anayeishi sehemu ya hovyo
 
Ndugu yangu unasema ukweli mtupu mbagala, temeke sijui ni maeneo ya hovyo sana hayafai kuishi. Watu wa kule hawajui ustaarabu hovyo kabisa. Nilishasema ile Morogoro road kutoka mbezi mpaka posta ule upande wa chini wa kwenda mbagala siwezi kaa hata bure.
 
Pamoja na yote kama lingekuwa Jimbo hakuna wakulifikia kiuchumi
 
Ndugu yangu unasema ukweli mtupu mbagala, temeke sijui ni maeneo ya hovyo sana hayafai kuishi. Watu wa kule hawajui ustaarabu hovyo kabisa. Nilishasema ile Morogoro road kutoka mbezi mpaka posta ule upande wa chini wa kwenda mbagala siwezi kaa hata bure.
Kabisa
 
Kama unaenda Posta kutoka Mbezi, maisha na makazi ya watu wa upande wa kulia na kushoto ni tofauti.
 
Hivi kuna maeneo ya hovyo kama Mbagala?

Kujenga mbagala ni kuukaribisha uswahili hapastahili kuitwa Dar

Hili eneo halistahili kabisa kuitwa Dar pangehamishiwa mkoa wa Pwani tu hapastahili kabisa kuwa Dar

Wakazi wake hawana ustaarabu kabisa ni sehemu ya ovyo kabisa

Kwa makazi ya familia na makuzi ya watoto hapafai labda ujenge nyumba upangishie tu au frem za biashara maana kuna idadi kubwa ya watu

Ni sehemu ambayo usafiri ni wa shida, fujo fujo tu, ustaarabu zero

Kiufupi mbagala na baadhi ya maeneo ya Temeke sio rafiki kwa kuishi watu kabisa

Mbagala mtu anayejielewa hawezi kutamba kujenga huko

Waliojenga huko Mmbande, Chamazi na mbagala kote huko na hii njia ya kusini wengi wanasimulia majanga na kero wanazokutana nazo kila siku

Mimi nilivyokomaa kununua Goba kipindi hicho baadhi ya rafiki zangu na jamaa zangu walinicheka,na wengine wakanambia siwezi wakawa wanafurahia walivyonunua viwanja wa bei nafuu huko Chamazi, Vkindu,mbagala mmbande na Temeke matokeo yake sasa yanaonekana ni nani anayeishi sehemu nzuri na anayeishi sehemu ya hovyo
Usisahau hiyo yote ni Dar 😁😁😁😁 utakuta na wao wanatuita wa Mkoani 🤣🤣
 
Mbagara uswahilini sana bana
Wakazi wengi wa mbagara wanafanya kazi viwandani,kariakoo,ilala sokoni,buguruni sokoni,karume
 
Watakuja kukupopoa hapa lakini ukweli ndio huo Temeke nzima hakuna ustaarabu na ndio sehemu inayoongoza kwa kero za foleni,magari kujaza sio Mbagala,sio Gongo la Mboto sio Temeke Stereo daladala zinajaza na wanagombania kupanda hadi wadada wanapitia madirishani...

Masoko na mitaa michafu watu hawana ustaarabu kiufupi mimi nimezaliwa na kukulia uswahili wilaya ya Kinondoni lakini uswahili uliopo Temeke ni wa kukatisha tamaa aisee..Nilipata kiwanja Chamazi kiponza kwa bei chee kabisa nimeishia kujenga fremu kama ulivyosema lakini sijawahi kuplan kabisa kuishi Mbagala
 
Back
Top Bottom