mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 9,909
- 13,288
Hakimu Mfawidhi, Kwa hiyo ukiondoa kalamu kuhusu ubora, features na bei zake ni equivalent?
Kwanini?Fanya yote lakini usije ukabeba note 4
Mkuu tofaut kati ya Note series na S series ni ipi? maana nataka kuchukua Note 9 ama S9+ nipe elimu kuhusu hizo simu mbili za SamsungNzuri kabisa ni note 10+ sema andaa 2m+
Mimi ninatumia Note edge mwaka wa pili iko poa hiii ninatumia japo ni refurbished lakini haijanisumbua nataka niuze nitafute isiyo refurbished.note 4 ni takataka. niliwahi kununua moja nikaapa kwamba sitawahi kurudia...
Kwa matumizi ya kawaida kuanzia Note 8 na S8 mpaka Note 10 na s10 ni sawa. Mara nyingi zinakuwa na processor moja, configuration za RAM na internal storage zinazofanana.Mkuu tofaut kat ya note series na s series ni ipi, maana nataka kuchukua note 9 ama s9+ nipe elimu kuhusu hizo simu mbili za Samsung
au chukua Note 8 plus utafurahi zaidi. Hutajuta mkuu.Asante Sana kwa elimu naona kwa bajeti yangu nichukue Samsung Galaxy S8 itanitosha.
note 4 ni takataka. niliwahi kununua moja nikaapa kwamba sitawahi kurudia...
Kuna note 8 plus ya samsung?au chukua Note 8 plus utafurahi zaidi. Hutajuta mkuu.
Kuna note 8 plus ya samsung?


ah hii ume edit wewe bana mimi siwezi kuandika hivi kabisaa


Atakuwa haja update simu tu.mimi simu nanunua kwa kuangalia mwaka iliyotoka .. hata ka bajet inanibana.. ni bora ninunue simu ya 2019 ya laki 6 au 7 kuliko kununua flagship ya mwaka 2018..
mwaka huu naenjoy A 50 sana. my friend ana s 8 ya mwaka jana sijui juzi.. anaona android yake haina ladha kama android iliyochanganywa na one ui ya mwaka huu 2019 kwenye A 50
wakati kiuhalisia a 50 ni cheap kuliko s 8
mimi simu nanunua kwa kuangalia mwaka iliyotoka .. hata ka bajet inanibana.. ni bora ninunue simu ya 2019 ya laki 6 au 7 kuliko kununua flagship ya mwaka 2018..
mwaka huu naenjoy A 50 sana. my friend ana s 8 ya mwaka jana sijui juzi.. anaona android yake haina ladha kama android iliyochanganywa na one ui ya mwaka huu 2019 kwenye A 50
wakati kiuhalisia a 50 ni cheap kuliko s 8
A50 sio flagship.... huwezi ilinganisha na S8
wapi nimesema A 50 ni flagship?
Soma bandiko lako mkuu