project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,560
Mm bado sijawaelewa kwa nini mnaipondea note4.mimi pia nitailaani Note 4 niliinunua mwaka 2016 Sh laki 7 nikakaa nayo miezi 6 tu ikafa. ilizimika yenyewe hata nilipoipeleka kwa fundi pale mwezi haikupona, pili ilikuwa ikichemka sana tofauti na s8+ ninayotumia sasa .hii s8+ naitumia ikiwa full chaji hadi 0 simu haina joto hata kidogo
nimeamua kubakia S series sitaki kabisa Note.
kingine chief mkwawa sioni haja ya kununua s9 au 9+ wakati specifications zinafanana na s8+ ninayotumia,tofauti yake ni kidogo sana,nikitoka hapa nitanunua s10
Aisee hizi simu ni ngumu hatari......yaani kama jiwe...Mm bado sijawaelewa kwa nini mnaipondea note4.
Hii simu nimenunua 2015 ndio zilikuwa zimeingia. Nilinunua duka flani pale posta 1.2M na mpaka sasa inakimbiza vzur tu.
Sema hiki kipindi zilitoka copy nyingi sana za note4 nadhani wengine mliangukia huko.
Lakini hii nilionayo ishapiga mizinga mingi tu lakini bado inadunda vzur kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sanaa kaka hadi huwa naishangaa..sema mpaka sasa isharudisha pesa yangu nataka niingie kwenye 10+ napenyewe nipige miaka yakutosha.

Mm bado sijawaelewa kwa nini mnaipondea note4.
Hii simu nimenunua 2015 ndio zilikuwa zimeingia. Nilinunua duka flani pale posta 1.2M na mpaka sasa inakimbiza vzur tu.
Sema hiki kipindi zilitoka copy nyingi sana za note4 nadhani wengine mliangukia huko.
Lakini hii nilionayo ishapiga mizinga mingi tu lakini bado inadunda vzur kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo simu ni best note of all time naikubali sanaMm bado sijawaelewa kwa nini mnaipondea note4.
Hii simu nimenunua 2015 ndio zilikuwa zimeingia. Nilinunua duka flani pale posta 1.2M na mpaka sasa inakimbiza vzur tu.
Sema hiki kipindi zilitoka copy nyingi sana za note4 nadhani wengine mliangukia huko.
Lakini hii nilionayo ishapiga mizinga mingi tu lakini bado inadunda vzur kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
S9 plus ni simu nzuri sana hasa camera iko poa sana
Ulipata kwa bei nzuri sasa zina cheza kwenye 950k
Acha na bei za instagram zitakuchanganya na utakata tamaa kipindi nanunua ilikuwa hadi 1.2M jaribu kutembelea madukaniUlipata kwa bei nzuri sasa zina cheza kwenye 950k
Samsung galaxy note 3 snapdragon
Chini ya 1m bado ni simu nzuri mkuu, Hapa na assume unaipata kwenye source ya kueleweka.Kwa mwaka 2022 vp Samsung Note 10+ bado inalipa? Au tuipotezee
laki 8 chukua Iphone Xs simu moja nzuri sana boss wanguAsanteni sana wakuu ngoja nione ipi itakuwa kwenye uwezo wangu maana bajet yangu ni Tsh 800,000 automatically hiyo note 10 siwezi kuafford.