Ipi ni series kali kati ya 24 na Prison break?

Ipi ni series kali kati ya 24 na Prison break?

uwiii! 24 ni zaidi ya noma! ila mi niliipenda sana kuliko pb.
Nimeumiza sana kichwa kwa kubishana na pple juu ya series bora kati ya 24 na Pb,
kwangu 24 ni noma na hakuna kama hii,
sababu ya kuinyima prison ni cuz matukio yake ya kusisimua ni ya dk kadhaa kadhaa tofauti na 24 ambayo mwanzo mwisho ni balaa.
Wewe uko upande gani?
 
Hakuna kama 24, hata NIKITA haioni ndani, 24 ndo mwisho wa kila kitu.
PB imefunikwa hata na madada NIKITA
 
mi nauliza tu kwani 24 itatoka tena lini au nd' basi tena?
 
pb ni best,coz i learn alt ov tinqs bt mostly akil nying ktk kusolve problems
 
E bwana acheni masihara, 24 Hours ni bad news. Achaneni na yule mdada anaitwa Chloe O'Brien ni soo. PB inasubiri mara milioni. Balaa liko Season 4, kamanda Habib Marwan utamlinganisha na ---- gani kwenye PB?
 
Nimeumiza sana kichwa kwa kubishana na pple juu ya series bora kati ya 24 na Pb,
kwangu 24 ni noma na hakuna kama hii,
sababu ya kuinyima prison ni cuz matukio yake ya kusisimua ni ya dk kadhaa kadhaa tofauti na 24 ambayo mwanzo mwisho ni balaa.
Wewe uko upande gani?

24 hour+ 24 live another day ni noma haina mpinzani.inafuatia strike back
 
Nimeumiza sana kichwa kwa kubishana na pple juu ya series bora kati ya 24 na Pb,
kwangu 24 ni noma na hakuna kama hii,
sababu ya kuinyima prison ni cuz matukio yake ya kusisimua ni ya dk kadhaa kadhaa tofauti na 24 ambayo mwanzo mwisho ni balaa.
Wewe uko upande gani?

kwa upende wa series za adventure naikuubal da vinci demons ni balaa
 
24 hours is the best, ila kiukweli zote ni kali na zimefanwa kwa ustadi mkubwa.
 
24 is da best.....Michael angekutana na Jack bauer angewekwa ndani kitamboooo
 
Back
Top Bottom