Ipi ni series kali kati ya 24 na Prison break?

gbrother

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
408
51
Nimeumiza sana kichwa kwa kubishana na pple juu ya series bora kati ya 24 na Pb, kwangu 24 ni noma na hakuna kama hii,

Sababu ya kuinyima prison ni cuz matukio yake ya kusisimua ni ya dk kadhaa kadhaa tofauti na 24 ambayo mwanzo mwisho ni balaa.
Wewe uko upande gani?
 
kila moja ina itamu wake mkuu! but kamanda Jacky ni noma mazee....:msela:
 
24 noma alafu inakutamanisha kuiangalia ujue nini kitatokea mbele

season gani ilikuwa mzuka zaidi?
Mie bw ya 5 ambayo kuna assasination ya president david palmer, na ile ya mwisho ya ya manslaugher ya president hassan,
bt zote tamu
 
series zote kali, ila inategemeana na wewe ni mpenzi wa mambo ya aina gani, unajua 24 na PB zina action wakati lost ni mavitu flan mixer ya horror na adventure hv, zote nzuri ila epic ya PB na lost ipo kwenye season 1 na 2 basi, baada ya hapo unahisi matukio yanalazimishwa yaendelee ila utamu umepungua kidogo
24 kila season ni kali lakini funga kazi ni season 5, kisha 1, 3 and 7 baadae 2,4,6 na 8
 
pb hata ile season waliyopiga mexico kwangu ndio ilikuwa tamu (ndani ya gereza la sona)

24 season ya 5 nadhani mlimpa tabu sana kamanda bauer cuz kuna kipindi aliteswa hadi moyo ukasimama dk kadhaa kupiga kazi,
mziki utapataje ushaidi km prez c.tayrol alihusika kumuua d.palmer,
achana kabisa na 24.
 
Kuna ki2 kikubwa ambacho 24 imenifundisha kuhusu mambo ya usalama wa taifa, the way inavyokuwa rahisi kukamata waarifu kupitia satelite,
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom