Ipi ni Gari nzuri Kati ya Prado Tx cc 2690 na Toyota klugger cc 2360

Labda ngoja nikupe elimu ya bure fasta.SUV zipo aina nne ambazo ni:

1.Full size SUV-Mfano Prado,VX,V8.

2.Mid size SUV-Mfano Kluger,Vanguard na Harrier.

3.Crossover SUV-Honda CR-V,RAV4,Subaru forester.

4.Mini SUV-Mfano Cami,Suzuki kei,Suzuki Swift,Terrois kid.

Prado ni full size SUV wakati akina Kluger na Vanguard ni mid size.Kwa hiyo ni makosa kulinganisha SUV ambazo ni full size pamoja na Mid size.

Kumbuka katika mtiririko huo hapo juu ubora wa gari unapungua jinsi unavyoshuka chini,yaani SUV za full size ni nzuri zaidi kuliko SUV za mid size.
 
1.Full size SUV-Mfano Prado,VX,V8

2.Mid size SUV-Mfano Kluger na Vanguard

3.Crossover SUV-Honda CR-V,RAV4,Subaru forester

4.Mini SUV-Mfano Cami,Suzuki kei,Suzuki Swift,Terrois kid,

Prado ni full size SUV wakati akina Kluger na Vanguard ni mid size.Kwa hiyo ni makosa kulinganisha SUV ambazo ni full size pamoja na Mid size.

Kumbuka katika mtiririko huo hapo juu ubora wa gari unapungua jinsi unavyoshuka chini,yaani SUV za full size ni nzuri zaidi kuliko SUV za mid size.
point kubwa sana hii

Sent from my phone using JamiiForums mobile app
 
Huo ndio ukweli.
Labda ngoja nikupe elimu ya bure fasta.SUV zipo aina nne ambazo ni:

1.Full size SUV-Mfano Prado,VX,V8.

2.Mid size SUV-Mfano Kluger na Vanguard.

3.Crossover SUV-Honda CR-V,RAV4,Subaru forester.

4.Mini SUV-Mfano Cami,Suzuki kei,Suzuki Swift,Terrois kid.

Prado ni full size SUV wakati akina Kluger na Vanguard ni mid size.Kwa hiyo ni makosa kulinganisha SUV ambazo ni full size pamoja na Mid size.

Kumbuka katika mtiririko huo hapo juu ubora wa gari unapungua jinsi unavyoshuka chini,yaani SUV za full size ni nzuri zaidi kuliko SUV za mid size.
 
Natamani kuwa na Gari kubwa nzuri kwaajili ya matumizi binafsi.
Hapa natamani kujua Gari ipi nzuri kwa kuangalia vitu vifuatavyo.
1. Uimara
2. Matumizi ya mafuta
3. Service
4. Muonekano

Najua zipo Vanguard na harrier new model Ila Bei imenitoa huko haswa used Tz.

Ila kila nikiangalia hizi klugger na Prado Tx cc 2690 haswa za dizel. Zilizoundwa Kati 1998-2002. Navutiwa nazo haswa Bei kwa used Tz kuwa Kati ya million 10 - 16. Ipi NI nzuri haswa kiuendeshaji
We jamaa una utani mkali Sana nimehuzunishwa na comparison hii
 
Labda ngoja nikupe elimu ya bure fasta.SUV zipo aina nne ambazo ni:

1.Full size SUV-Mfano Prado,VX,V8.

2.Mid size SUV-Mfano Kluger,Vanguard na Harrier.

3.Crossover SUV-Honda CR-V,RAV4,Subaru forester.

4.Mini SUV-Mfano Cami,Suzuki kei,Suzuki Swift,Terrois kid.

Prado ni full size SUV wakati akina Kluger na Vanguard ni mid size.Kwa hiyo ni makosa kulinganisha SUV ambazo ni full size pamoja na Mid size.

Kumbuka katika mtiririko huo hapo juu ubora wa gari unapungua jinsi unavyoshuka chini,yaani SUV za full size ni nzuri zaidi kuliko SUV za mid size.
Mkuu, Prado sio full size SUV. Ni midsize.
 
Inategemea unataka kuitumia mazingira gani, kama ni MJINI nakushauri chukua Kuluga but kama ni vijijini au multipurpose chagua PRADO, hutajilaumu, Klugger nyingi huaga sio 4WD but hakuna PRADO ambayo sio 4WD hata size ya engine as well, Klugger ina engine ndogo while PRADO ina kifua kikubwa, kuhusu fuel consuptions inategemea na unakwenda analo wapi, gari kubwa haitaki short trips, kama unakwenda nalo mbali tofauti ya mafuta kati ya PRADO na Klugger huwezi kuiona kiviiile hasa kwa size hiyo ya engine ulioitaja cause kuna PRADO zina hadi 3370 cc.
 
Mkuu, Prado sio full size SUV. Ni midsize.
109_20210705_152514.jpg
 
Back
Top Bottom