Ni ipi reliable kati ya hizi gari?

Hizo gari zote Mjapan usiwe na wasiwasi sana kuhusu reliability na spare. Asikutishe mtu.

Ila pia kumbuka Vanguard = Toyota Rav 4. Ni gari moja. Tofauti miaka tu.

Na mwisho, ungeweka kwanza:
  • Miaka (1999, 2010, 2020 etc),
  • Matumizi (Family car, gari ya masafa, mizigo ya dukani etc),
  • Mapendeleo yako (fuel efficiency, starehe, speed etc)
  • Budget kama necessary ila kama pesa sio issue usiweke.
 
Kwenda kanisani , sokoni , ikienda mbali zaidi ni Kiraracha Marangu.
Daka Rav 4, 2nd generation. Kama utaipata kwa iyo bei.
1280px-2001-2003_Toyota_RAV4_L_--_03-16-2012.jpeg
 
Wapenda magari , ipi niagize ,Kati ya hizi gari vanguard, Toyota RAV4, Suzuki Tanapa Mitsubishi outlander. Wataalamu msaada please.

Rav4 na Vanguard tofauti ni body na chasis tu, Vanguard ina nafasi zaidi na taa za mbele ni tofauti kidogo (mwonekano) ila zote ni reliable, kama ilivyo Suzuki. Sina uzoefu na Outlander ila za Petrol ambazo ndo nyingi nasikia ni reliable pia.
 
Back
Top Bottom