Ipi inaweza kuwa sababu ya Tulia kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Uspika?

Ipi inaweza kuwa sababu ya Tulia kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Uspika?

Tulia Axon amejiondoa kugombea Uspika
Tukumbuke Tulia Akson ndo spika wa bunge la Dunia (IPU) na Kwa kupoteza nafasi ya Spika katika Taifa lake automatically anapoteza fursa ya kuwa Spika IPU

Tulitaraji CCM wangemtengezea nafasi ya kuwa Spika ili aendelee kuwa Spika huko IPu

Sababu

1. Maandamano ya mo29 yameanza kulipa, maana nasikia Gen z Mbeya walifika kwake kumsalimia

2. Kizimkazi anataka amweke Mzanzibar au chawa hataki mtu wa Bara tena

3. Dhamiri inamsta Kwa wizi wa kura

4 Kizimkazi anajaribu kuondoa watu wa JpM kwenye mihimili muhimu

5. Kizimkazi hataki akili kubwa anataka vilaza tuView attachment 3498670
Hapana nadhani wanataka kumpa uwaziri wa mambo ya Nje kwa kuwa Tulia anajua kingereza sio kama Kombo.Halafu ni kabishi kwa hiyo kanaweza watukana wazungu🤣🤣🤣
 
Tulia Axon amejiondoa kugombea Uspika
Tukumbuke Tulia Akson ndo spika wa bunge la Dunia (IPU) na Kwa kupoteza nafasi ya Spika katika Taifa lake automatically anapoteza fursa ya kuwa Spika IPU

Tulitaraji CCM wangemtengezea nafasi ya kuwa Spika ili aendelee kuwa Spika huko IPu

Sababu

1. Maandamano ya mo29 yameanza kulipa, maana nasikia Gen z Mbeya walifika kwake kumsalimia

2. Kizimkazi anataka amweke Mzanzibar au chawa hataki mtu wa Bara tena

3. Dhamiri inamsta Kwa wizi wa kura

4 Kizimkazi anajaribu kuondoa watu wa JpM kwenye mihimili muhimu

5. Kizimkazi hataki akili kubwa anataka vilaza tu
Ccm Kuna mgawanyiko wa kifikra kwa sasa sema wengi wanashindwa kutoka front kwasabb ya teuzi znazokuja
 
Mdau umeliona hilo la kombo.kuongea English ya kubumba.

MFA walitaliwa wapate waziri kama Mbelwa january au Polepole nchi ingesonga.
 
Waziri wa Mambo ya nje kwa kuwa kapata exposure pale IPU pia Tulia anajua kingereza tofauti na Kombo pia kuna hatari ya ICC kwa hiyo anaandaliwa kwenda kupambana isitokee
Hii inakuja kuja
 
Kule IPU walimuweka kitimoto sanaaa Hadi akasema kwa vile ametoka Afrika Tanzania!? Sasa kwa namna media za nje zimereport uchaguzi wetu huu halafu yeye ndio awe spika wao ndio watamkaanga vizuri zaidi...so best way kupunguza tension na joto la nje ni apoteze hapa ili na kule atoke bila kuwekwa kitimoto.

Ni assumptions zangu tu, Sasa kama atapewa cheo kingine labda wizara hapo sijajua.
Hii nayo point.
 
Spika ni mkuu wa mhimili hivyo hawezi kuwa na aina yoyote ya uwaziri.
Hili swala lina nje ndani nyingi, tuungojee wakati.
 
Kuna jambo ntakuambia waweza kataa ila ndio ukweli. Tulia Akson anasali kanisa la Pentekoste (MLOKOLE) na yupo karibu na Wachungaji na Askofu wao
Hao wote walimshauri sana kuhusu Dhulma na Maasi yanayotokea nchini ikiwezekana ajiengue na dhulma hizo naye kawa Mwaminifu ati
Mlokole wa mchongo!
 
Back
Top Bottom