AskariKanzu
Member
- Jul 25, 2025
- 38
- 145
Kiukweli napata changamoto kubwa sana pia nakosa kujihamini kwenye tendo sababu ya dhakari[uume] wangu umepinda kuelekea chini.
Nakuwa mnyonge kwenye tendo maana baadhi ya mikao siwezi kupaform vizuri.
Nilivyo kuwa mdogo nilikuwa navaa sana chupi labda ndio sababu ya kupinda. Mwenye kujua dawa au jinsi ya kuunyosha tafadhari.