Ipi bora kati ya St. Francis Girls Mbeya na FEZA Girls Dar es Salaam?

Feza mtoto atapata exposure kubwa sana Hadi anakuwa ameshazoea mengi pia kukutana na watu wazito hiyo connection kuliko apate A zote with little exposure akienda chuoni anakuwa fungulia mbwa
 
Hii inamaanisha nini? Tunaomba ufafanuzi ili nasi wengine tujifunze
Hii shule ni zaidi ya shule, kila mtu anawajibika kuanzia mzazi mpaka mlinzi wote ni order and discipline. Siyo unalipa ada basi,wewe unatulia na kuanza kutamba tamba.
 
Feza mtoto atapata exposure kubwa sana Hadi anakuwa ameshazoea mengi pia kukutana na watu wazito hiyo connection kuliko apate A zote with little exposure akienda chuoni anakuwa fungulia mbwa
uchawa 😂😂
 
Mi naona kati ya hizo mpeleke ambayo unaona ipo karib na ww
Yaan nipo dar mtt kapata feza nijiangaishe na mambo ya mbeya over my dead body
Shule nzuri ss hv zipo kila mahali maadili ni mtt alivyolelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…