Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 21,213
- 36,195
Mimi sio iPhone wala Androids.....ni kigagula tuu Wewe je?
Ila wanaume..... Kiwi cha macho kitawakosti siku ya siku.
Kwa jinsi nilivo mtata mwanaume akipiga kiwi cha macho na hadi nikamstukia..... Ajiandae tuu kunitizama na mie nikiwa naosha macho kwenye zipu mbalimbali.
Kasie Matata.