Iphone vs Androids....

Iphone vs Androids....

Trapezius and serratus anterior.

Banaaa unaniamsha ujue..... Ntafinya kote huko, si unajua nnavofinya eehh vinauma ila unacheka heheheheeee.

Kasibaaahh faakiii yuuuu
 
Una mavurugu wewe...hehehehee.

Know what I mean?
 
Wote wenye signature za
“Sent using #Jamii Forums mobile app# ni android tena Itel🤣🤣🤣
Natania tuu
 
Aahahahahahahahaaaa watakuja kwa kasi kukujibu....

Bora umetania. Ijumaa Karim.
 
Kitu gani mlenga shabaha? Ninong'oneze basi mie niliyekukumbusha....
Nilikuwa natembea na couples basi jamaa kila akiona dem macho kodoo na mimi naona aibu kwa mrs wake
Kumbe bidada anamchora tu
Mwisho akanisogelea akaniambia usiamue huu ugomvi
Ikawa kila kijana anaepita mrs anamwangalia mpaka anageuka
Ikafika jamaa hasira mpaka kaamua kuuliza unawajua hao unaowaangalia?

Na kweli sikuingilia ugomvi ila niliwaambia tuingie McDonald's wanywe hata milkshake

Sent from my SM using Tapatalk
 
Hahahaaaaaa ulitumia njia ya busara kuwapatanisha kwa kuwaambia wapate kinyaji McDonald's.

Ukikizoea kiwi cha macho kitamu. Kuna kipindi mie nilikuwa nawageukia waschana na wanawake wenye vibinda nkoi. Basi nikawa naburudikaaa nakumbuka nilishaweka uzi hapa kuwa kumbe wanaume huwa wanafaidi eehh.

Kasie Matata.
 
Hahahahaha eti KIWI

Sent from my SM using Tapatalk
 
window phones wapo kundi gani 😂😂 naskia hawa ndio wale hawana mbele wala nyuma 😂😂😂
 
Back
Top Bottom