Lakini je heshima unayopata kwa wewe unavyojiona unastahili ama ndo ile ukimilki gari kama vile mie kijijini kwetu naonekana tajiri lakini ukweli ninao moyoni....ahaaaa!!
Nimekuelewa nilikuwa nakuzingua tu mkuuHeshima haitokani na simu ila wao wametia adabu, baada ya kuona nmekuja kivingine kwenye huu ulimwengu wa technology. Last time nilikuwa na asus zenfon 2 .wakawa hawaielewi
ni settings tu inakubaliHyo kawaida halotel wameficha options za kutoa hotspot so kuna kiji update kitakuja kama pop up itakubali
IPhone zote zinaingia mfukoni mkuu labda plus model.Inategemea na aina ya iPhone
Kama iPhone SE,iPhone 5,5s,4,4s zina ukubwa mdogo mfukoni zinaingia vizuri tu
Wengine wamezoea kushika simu mkononi hata kama iwe kama calculator ama tochi....IPhone zote zinaingia mfukoni mkuu labda plus model.
Nilikuwa nataka kujua zile swaga za kushikilia simu masaa yote ili watu waione.
Wakuu habari naomba kujuzwa bei ya iphone 6used iliykatikahali nzuri na pia je nimewahi tumia iphone 5s tu .je hii iphone 6 ni kubwa kuliko 5s kwa upanana size ya kioo ?Na pia inapata update iliypo sasa hivi
Bei zake zimekaaje mkuu na pia kiwastan yaweza kua sawa na tekno w3ukubwa wa umboiPhone 6 ni kubwa kidogo kulinganisha na 5s ingawa ukubwa wake ni wastani.updates inapata na itaendelea kupata ila kama ulitumia 5s usitarajie kuona tofauti kubwa sana ktk 6.
wewe binti umenivunja mbavu sana unapomwambia mwenzio atupe simu yake hahahahahahahTayari mko nje ya game we mwaka 2017 unatumia sim ya 2010 kaa pembeni apple wanakupa matumiz ya ios kwa miaka 4 sasa we 2017 ishapita miaka7 tupa hyo sim
wewe binti umenivunja mbavu sana unapomwambia mwenzio atupe simu yake hahahahahahah
Wakuu habari naomba kujuzwa bei ya iphone 6used iliykatikahali nzuri na pia je nimewahi tumia iphone 5s tu .je hii iphone 6 ni kubwa kuliko 5s kwa upanana size ya kioo ?Na pia inapata update iliypo sasa hivi
wewe binti umenivunja mbavu sana unapomwambia mwenzio atupe simu yake hahahahahahah
Nichek pm tufanye biasharamamaHaya fasta tafuta laki 7 na nusu upewe sim ya Gold
Sim ya 2010 haina wasap wala insta wala nin
hiv 4 and 4s za 2010 thou yangu inawasap japo no more update
4 ya 2010 ila 4s ni ya 2011 yes hazi update.
Bei zake zimekaaje mkuu na pia kiwastan yaweza kua sawa na tekno w3ukubwa wa umbo