Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,920
- 3,244
Waliwezaje wale FBI CIA cjui kuunlock ile iphone ya gaidi
Apple waliombwa watoe details, wakakataa kwa sababu Term and Conditions haziruhusu kuvujisha privacy ya mtu. Hackers wa FBI wanaweza kui unlock kutumia spam kwenye mail. Na Apple akawaomba waseme walivyoweza wakakataa. Technicians wa Apple wakasolve ni jinsi gani walivyoweza ku unlock na ndio maana akatoa iOS 9.3.5 kabla ya kuja iOS 10. Alisolve na kupitia FBA akaimarisha security kwenye updates.
