Nuksi kwenye niniI phone nuksi wewe
Nuksi kwenye nini
Tecno zpo nying mkuu me natumia j8 wala cjaona mapungufu yyte tena nainjoy kuliko mnaotumia brands kubwaKama unatumia tecno huwez kunielewa
mkuu tafuta siku hata mtu ana simu kama s5 kupanda, note 4 kupanda, lg g2 kupanda etc halafu muombe uangalia camera yake, hio j8 ninayo hapa camera yake ni mbaya kupita maelezo.Tecno zpo nying mkuu me natumia j8 wala cjaona mapungufu yyte tena nainjoy kuliko mnaotumia brands kubwa
Sijawahi kutumia tecno, ungenijibu kwa facts based kweny camera ..ndio nilichokitakaKama unatumia tecno huwez kunielewa
Sijawahi kutumia tecno, ungenijibu kwa facts based kweny camera ..ndio nilichokitaka
Sasa habar za tecno sijui umetoa wapi
Tecno zpo nying mkuu me natumia j8 wala cjaona mapungufu yyte tena nainjoy kuliko mnaotumia brands kubwa

Lumia n kiboko kwa camerasi kweli, simu zenye camera nzuri ni nokia 808, lumia 1020, galaxy k zoom, panasonic lumix etc ila zote hizo hazina experience nzuri ya smartphone. zina outdated software na maumbo yake ni makubwa.
kwa hizo hapo mbili note 4 ina camera nzuri zaidi
Huko mbona mbali mkuu!!! Mi nampambanisha na 5mp za lumia 650 dual sim ambayo ni camera ya mbele, maana ya nyuma atakimbiamkuu tafuta siku hata mtu ana simu kama s5 kupanda, note 4 kupanda, lg g2 kupanda etc halafu muombe uangalia camera yake, hio j8 ninayo hapa camera yake ni mbaya kupita maelezo.