Soso J
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 1,976
- 1,224
Unadanganya mchana kweupe peeee..hyo itakua made in carifonia and assembled in carifonia
Mpe ukweli
Unadanganya mchana kweupe peeee..hyo itakua made in carifonia and assembled in carifonia
Hivi ni kweli kwamba katika smartphone camera iphone ndo yuko vizur? Maana nahitaji ninue kati ya iphone 5s au galaxy note 4 naombeni mawazo yenu...
Baba kuna samsung s7 na sony c5 hizo ni balaaa hebu jaribu uoneMi nadhani mahaba yanawatesa ndiyo maana mnasema lumia, sony n.k ni best kwa camera. Kwangu iphone 6s plus camera yake ni best... Flash ya camera ya mbele bado hizo simu zingine hazijafikia quality hiyo. R.I.P STEVE JOBS
Mkuu nilikuw na Sony Xperia Z2 mbn sikufaidi coz ucku ukpga pic inaingiza filter ya bluu flan hvi!! Ila mchana iko poaExperia zote kiufupi sony wanajitahidi sana kwa camera kuliko cm zote
Jaribu hii Xiaomi MI 5, iko vizuri zaidi.Baba kuna samsung s7 na sony c5 hizo ni balaaa hebu jaribu uone
Doooohmm nataka simu anayotumia mobetto hamisa
megapixel sio uzuri wa picha, kama unatafuta camera nzuri sahau kabisa brand za kichinatecno c7 na tecno c9 zote camera ya mbele na nyuma ni megapixel 13 je ni bora sana camera zake
kwanini uzuri wa camera ni pixel?Uzuri wa camera upo kwenye pixels na screen resolution sio aina ya simu...kama target yako ni camera basi angalia sifa za vitu hivyo tu sio jina