Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,063
- 43,492
angalia post ya 2 ya hii thread nimezitajAAsante kwa marekebisho......nambie hiyo camera model na hizo iphone za mtoa post, let us be hpnest ?
angalia post ya 2 ya hii thread nimezitajAAsante kwa marekebisho......nambie hiyo camera model na hizo iphone za mtoa post, let us be hpnest ?
Acha uchizi wewe kutumia z1 sio tiketi ya kukosoa xperia zote FYI, katika z series zote hakuna simu iliotengenezwa kwa kiwango kama z2 na pia ndio simu ya kwanza kuwekwa feature ya 4K in a trilluminous display..Ina kioo angavu mno na haiko oversaturated kama amoled displays..Pia ndio simu ya sony yenye uwezo wa kuhimili kukaa na charge for a full day regardless matumizi unayofanya!Hv z2 na z1 inatofauti gan?mashine ile ile bodi tu labda
Iyo cm nmeelewa sana hapo naona iphone anaachwa gap kwa tz unaeza pata wap n how muchMkuu unatakiwa utumie hii Nokia lumia 950 XL alaf urudi kuja kuhakiki thread yako kuhusu iphone.......nadhani unaona hapo mega pixels ngapi zimeandikwa.....
Ogopa simu mpaka watu wanatumia kufanya shooting kabisa.
![]()
Iphone hakuna kitu........camera hovyo sana hasa usiku......
Hii nazungumzia iPhone 6s......bure kabisa......
Samsung zipo poa sana........
Mbona hapo pia hauna rangi yako halisiTafuta iPhone 5S na hizo smartphones nyingine then piga picha kwenye location moja halafu anza kucompare simu ipi inatoa picha yenye uhalisia na yenye ubora. Ukiona inakusumbua zichukue hizo picha hamishia kwenye computer halafu anza kuzichambua.
Kwa Mimi iPhone is the best
NOTE:
Ogopa sana unapiga picha badala ya kukutoa rangi yako nyeusi unatoka maji ya kunde.
Nakuona hapo unavyong'ara mwenyewe hongera kwa lumia 950 XL but hyo simu apo ni ya lumia 1020Mkuu unatakiwa utumie hii Nokia lumia 950 XL alaf urudi kuja kuhakiki thread yako kuhusu iphone.......nadhani unaona hapo mega pixels ngapi zimeandikwa.....
Ogopa simu mpaka watu wanatumia kufanya shooting kabisa.
![]()
Simu gani ya kwanza ya Sony Xperia kuwa waterproof na ni toleo la mwaka gani? Samsung ni Galaxy S4 Active, msipende kuwa mnaandika vitu msivyoelewa.Waterproof walianza kuitoa Sony Xperia hata hao Samsung ni technology mpya kwao ila wafuatilie Sony walianza nayo zaman
Watu humu wanapenda tu kupost vitu bila hata kufanya research kidogoSimu gani ya kwanza ya Sony Xperia kuwa waterproof na ni toleo la mwaka gani? Samsung ni Galaxy S4 Active, msipende kuwa mnaandika vitu msivyoelewa.
TecnoTafuta iPhone 5S na hizo smartphones nyingine then piga picha kwenye location moja halafu anza kucompare simu ipi inatoa picha yenye uhalisia na yenye ubora. Ukiona inakusumbua zichukue hizo picha hamishia kwenye computer halafu anza kuzichambua.
Kwa Mimi iPhone is the best
NOTE:
Ogopa sana unapiga picha badala ya kukutoa rangi yako nyeusi unatoka maji ya kunde.
Ndio hii inawatoa watu weusi maji ya kunde?Techno H5 & H6 n balaa Ina camera nzur
una maana gani unaposema zimekaa kikazi zaidi na matumizi ya kawaida, kila mtu anahitaji ubora uliopindukiaMkuu hizi ulizozitaja zimekaa kikazi zaidi, ila kama kwa matumizi ya kawaida iphone wapo vizuri sana kwenye camera
Tafuta iPhone 5S na hizo smartphones nyingine then piga picha kwenye location moja halafu anza kucompare simu ipi inatoa picha yenye uhalisia na yenye ubora. Ukiona inakusumbua zichukue hizo picha hamishia kwenye computer halafu anza kuzichambua.
Kwa Mimi iPhone is the best
NOTE:
Ogopa sana unapiga picha badala ya kukutoa rangi yako nyeusi unatoka maji ya kunde.

uzi huu haujakufaa.Kila nikienda kununua simu kwenye maduka ya simu hapa nchini, wauzaji wanaanza kunishawishi kwa kunielezea ubora wa camera, wakati mie nataka simu nzuri kwa mawasiliano. Picha ni component ya mwisho kwenye mahitaji yangu hasa ya simu. Kwa nini camera inakuwa priotised kiasi hicho?
Ninaposema zimekaa kikazi namaanisha ni simu zenye kamera mbadala wa dslr Camera ambazo hutumiwa kwa ajili ya kutengeneza picha zenye resolution kubwa kama mabango ya matangazo makubwa bila kupoteza ubora wa picha na ninaposema matumizi ya kawaida ni kamera kwa ajili ya kuchukua picha za kupost Instagram au Facebook au kuweka kumbukumbuuna maana gani unaposema zimekaa kikazi zaidi na matumizi ya kawaida, kila mtu anahitaji ubora uliopindukia
I phone kiboko
tecno j8 hapana kabisa,hizo nyingine migizagiza mingi sana,overrrrrr



sifia chako mkuu etii Tecno yule mwanamuziki wa Nigeria au?