Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,900
- 28,015
Wachana na Sony Xperia bana....Camera zao ni balaa
Apple wamezifanyia tweaks na huwa nzuri sanaAfu then naskia izi iphone zina camera software ambazo zinafanya pic zake ziwe nzur zaid
S7 sasa si ilikuwa jibu la Samsung kwa iPhone 6s ambayo hata hiyo aipiti S6Mkuu asante ila japokuwa umeenda mbali sana adi kwenye latest kama s7
Sasa hapa tunaongelea glass au ubora wa kamera..??.Simu gan iyo imedizainiwa na maglasi
Note 4 ina camera nzuri sana kuzidi IphoneHivi ni kweli kwamba katika smartphone camera iphone ndo yuko vizur? Maana nahitaji ninue kati ya iphone 5s au galaxy note 4 naombeni mawazo yenu...
Ata camera bado haifiki ata samsung s3 ya zaman ,nmetumia experia z1 haina camera nzuri n megapixel nyng tu afu usidanganyike kwamba simu ikiwa na megapixel nyng ndo inatoa picha nzuri mkuu...Sasa hapa tunaongelea glass au ubora wa kamera..??.
We subiri iyo iphone 7 naskia wamerushusu watu watoe maoni ile tundu ya headphone itolewe au la ,so maanake inaeza ikatoka haina iyo sehemu ili kuongeza ukubwa wa betri na iwe waterproof coz ile tundu linazama maji,apo maanake simu itakuwa wireless kila kitu adi earphone hapo utanambia wameiga samsung cyo.... tusubr septemba sio mbal..Hayo sijui ma iphone ilikua zamani. Kwa sasa Samsung wameua. Technology inakua sana sasa iphone wakae wasubiri Samsung watoe toleo ndio wao wakatengeneze. Licha ya camera Samsung wameua kwa technology ya wireless charge na edge unaanzia wapi kuiga. Iphone waliona note zinapendwa wakatengeneza iphone 6 plus huku Samsung ameshakimbiza sana
Mimi natumia Z2 na camera yake ni bora kabisa...Ata camera bado haifiki ata samsung s3 ya zaman ,nmetumia experia z1 haina camera nzuri n megapixel nyng tu afu usidanganyike kwamba simu ikiwa na megapixel nyng ndo inatoa picha nzuri mkuu...
Vitu vya kizamani hivo. Wireless? Tunaongelea wireless za headphones zamani sana. Waterproof hiyo Samsung walitoa miaka 2 iliyopita kuanzia s5We subiri iyo iphone 7 naskia wamerushusu watu watoe maoni ile tundu ya headphone itolewe au la ,so maanake inaeza ikatoka haina iyo sehemu ili kuongeza ukubwa wa betri na iwe waterproof coz ile tundu linazama maji,apo maanake simu itakuwa wireless kila kitu adi earphone hapo utanambia wameiga samsung cyo.... tusubr septemba sio mbal..
hardware zaidi lakini pia software zina mchango wake. Angalia camera za pro sana ni hardware huwezi kuta software za maana kama umewahi kuwa na dslr utaona software yake inakuwa basics tu.Hiv chief kitu kinachofanya simu itoe picha nzur ni software au hardware eb nielekeze apo mkuu
Iphone inatisha tena hata usiku ni nzuri sanaHivi ni kweli kwamba katika smartphone camera iphone ndo yuko vizur? Maana nahitaji ninue kati ya iphone 5s au galaxy note 4 naombeni mawazo yenu...