Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,057
- 1,572
Umetumia Z1 unaiponda Z2, Z3, Z5 Mtanzania bwanaAta camera bado haifiki ata samsung s3 ya zaman ,nmetumia experia z1 haina camera nzuri n megapixel nyng tu afu usidanganyike kwamba simu ikiwa na megapixel nyng ndo inatoa picha nzuri mkuu...
Mwenzio hajazungumza lolote kuhusu Megapixel
umejitungia pepa na kujisahihishia mwenyewe