Iphone kwa camera nzuri hana mpinzani?

Iphone kwa camera nzuri hana mpinzani?

Vitu vya kizamani hivo. Wireless? Tunaongelea wireless za headphones zamani sana. Waterproof hiyo Samsung walitoa miaka 2 iliyopita kuanzia s5
Eti vitu vya kizaman umekosa hoja ya kujidefend nigaa..tena hao samsung ndo imitator wakubwa walicopy kwenye iphone wakatoa slot ya memory kadi kwenye s6 wakaona haziuzi ,kwenye s7 wamerudisha eti..naona wakaanza na wao kudizyn simu za aluminium izi alpha nazo wamecopy.......
 
Nna hoja ya msingi soma tena coment yangu
 
Nmesoma ila bado ujanishawishi kuelewa unachosema
Vitu kama edge na wireless charge sio vitu vya kubeza ndio maana nasema iPhone waumize kichwa kweli kweli. Simu kuwa waterproof ni technology ya nyuma kidogo kwa Samsung imeanzia s5.
 
Vitu kama edge na wireless charge sio vitu vya kubeza ndio maana nasema iPhone waumize kichwa kweli kweli. Simu kuwa waterproof ni technology ya nyuma kidogo kwa Samsung imeanzia s5.
Sasa io wireless charging mbona lumia sjui ya 2012 ilikuwa nayo tayar mbona umengangania sana apo waterproof yenywe sony kitambo alikuwa nayo...
 
Hivi ni kweli kwamba katika smartphone camera iphone ndo yuko vizur? Maana nahitaji ninue kati ya iphone 5s au galaxy note 4 naombeni mawazo yenu...
Kwa sasa hivi simu inayoongoza ni s7...lkni near future lzma aje aongoze note 6 na simu ya sony itakayokuwepo..hizo ndio zinazofanya vizuri kwenye camera
 
Sasa io wireless charging mbona lumia sjui ya 2012 ilikuwa nayo tayar mbona umengangania sana apo waterproof yenywe sony kitambo alikuwa nayo...
Sidhi kama una experience na hhiz simu naona wee ni mnazi wa iphon tuu akati huzijui hizi nyingine
 
Mkuu

Hiyo z2 umepata update za Android 6 kwa OTA au bado? Mie ya kwangu sijapata
Nimepata update zote from Sony Since April....Sasa ni raha tupu ndani Marshmallow 6.01.,, simu iko fasta na smooth...
 
Hivi ni kweli kwamba katika smartphone camera iphone ndo yuko vizur? Maana nahitaji ninue kati ya iphone 5s au galaxy note 4 naombeni mawazo yenu...
Taarifa uliyopata si sahihi mkuu, cha msingi ni specification zake na aina ya picha itakayotoa. Ni vizuri kujiridhisha.
 
Mhh iphone ikasome kwa sony experia anaefata ni samsung galaxy s 6 au galaxy kuanzia not 3 kuendelea
Mkuu cha msingi ni kuangalia specification na picha irayotolewa. Makampuni mengine yanadanganya sana kwenye specs lakini picha sio nzuri. Kwa sio kwamba siku zote kampuni fulani itakuwa juu kuliko nyingine. Halafu pia kumbuka kuna ushindani.
 
Hivi ni kweli kwamba katika smartphone camera iphone ndo yuko vizur? Maana nahitaji ninue kati ya iphone 5s au galaxy note 4 naombeni mawazo yenu...
ningekushauri ununue Nexus 6p au nexus 5x, hizi zinatoa picha nzuri hasa kwenye low light. Shida upatikanaji wake hapa bongo ndo nahofia
 
Back
Top Bottom