Simu zenye camera nzuri ni hiz hapa kwa list.
1.Samsung Galaxy note 10 5G
2. Huawei P30 pro
3. Samsung Galaxy S10 5G
4. Honor 20pro
5. Oneplus 7pro
6. Huawei mate 20pro
7. Huawei P30pro
8. Samsung Galaxy S10+
Hakika...Tz hawazishiki hiz simu nafikir ni sababu za ujiwe kuwa mwingi!! Ni Simu zenye best camera sana
Ndy unatumia?Au tafuta one plus 7 imekaa vzr
Mbn ukijipanga simu unatia mfukoni chap, punguza woga na mtizamo tu.Hzo cm zna bei kali
View attachment 1184853 iphone 5s hiyooo
Kweli kabisa picha ya iphone ukizoom kidogo tu ukungusi kweli, simu zenye camera nzuri ni nokia 808, lumia 1020, galaxy k zoom, panasonic lumix etc ila zote hizo hazina experience nzuri ya smartphone. zina outdated software na maumbo yake ni makubwa.
kwa hizo hapo mbili note 4 ina camera nzuri zaidi
Kweli kabisa picha ya iphone ukizoom kidogo tu ukungu
Duuh mkuu hii umepigaje? Au umefanya setting kwenye camera? Mi nna 6s lakini sina ujuzi wa kupiga hvoHii nimepiga leo leo na iphone 5s
Hivi oppo hawapo vizuri kwenye upande wa picha na blur koz kuna oppo f11pro ina camera mbili na 48 mp ila pia kuna galaxy j8 ina 16 mp je na nikaambiwa iyo j8 ndo itakuwa nzuri kwa camera je icho kitu kinawezekana mkuu??Kitu muhimu zaidi Ni sensor iliotumika, jinsi sensor inavyokuwa kubwa pixel nazo zinakuwa kubwa na hivyo kuruhusu mwanga zaidi na kufanya picha iwe nzuri.
Pia Kuna lens, lens zinafanya Mambo mbalimbali Kama ku focus, kuchukua macro shots, kuzoom etc unahitaji pia lens nzuri, siku hizi Kuna simu nyingi tu zinakuja na lens zaidi ya moja.
Kuna vitu Kama software na alogarithims zilizotumika, Hapa unaigusa simu Kama Google pixel ambayo software yake inafanya Mambo mengi Sana.
Vipo pia vitu vyengine Kama aperture, Flash iliotumika, custom chips za camera, ama processor husika pia inaweza changia ubora wa picha.
Kwahiyo pia unaniambia kama member pia hana mpinzani ??Hivi ni kweli kwamba katika smartphone camera iphone ndo yuko vizur? Maana nahitaji ninue kati ya iphone 5s au galaxy note 4 naombeni mawazo yenu...
Inategemea na model mfano series zao za Reno wanajitahidi camera,Hivi
Hivi oppo hawapo vizuri kwenye upande wa picha na blur koz kuna oppo f11pro ina camera mbili na 48 mp ila pia kuna galaxy j8 ina 16 mp je na nikaambiwa iyo j8 ndo itakuwa nzuri kwa camera je icho kitu kinawezekana mkuu??
Zipo zile ambazo hazitumii quad Bayer na si pixel binning Kama sensor za Sony IMX 586Inategemea na model mfano series zao za Reno wanajitahidi camera,
Na hio 48mp ni camera ya kawaida tu imetumika model nyingi za bei rahisi kwenye karibia kila brand, isikushtue, sensor yake ni quadbayer inayofanya pixel binning na picha zake ni 12mp.
Mbona website yao wenyewe sony wanasema ni quad bayer?Zipo zile ambazo hazitumii quad Bayer na si pixel binning Kama sensor za Sony IMX 586
Samahi bro nnashida ya kudaka sim kali naomba tuchonge whatsapp namba yangu ni0623011171 asanteInategemea na model mfano series zao za Reno wanajitahidi camera,
Na hio 48mp ni camera ya kawaida tu imetumika model nyingi za bei rahisi kwenye karibia kila brand, isikushtue, sensor yake ni quadbayer inayofanya pixel binning na picha zake ni 12mp.
Na hao redmi kuna redmi note 8 na note 8 pro alaf wakatoa na MI 9T ila zote zina 48 Mp na nilifwatilia kwenye post yako ukasema moja wapo hapo ina camera nzur na picha nzuri je ni ipi kwa hapo itakuwa nzuri na makadirio ya bei yake itakuwa sh.ngap kwa tzInategemea na model mfano series zao za Reno wanajitahidi camera,
Na hio 48mp ni camera ya kawaida tu imetumika model nyingi za bei rahisi kwenye karibia kila brand, isikushtue, sensor yake ni quadbayer inayofanya pixel binning na picha zake ni 12mp.
Note 8 pro ina 64mp, sensor yake ni nzuri zaidi compare na hizo za 48mp,Na hao redmi kuna redmi note 8 na note 8 pro alaf wakatoa na MI 9T ila zote zina 48 Mp na nilifwatilia kwenye post yako ukasema moja wapo hapo ina camera nzur na picha nzuri je ni ipi kwa hapo itakuwa nzuri na makadirio ya bei yake itakuwa sh.ngap kwa tz
Kiongozi tafuta differences ya Sensor ya Samsung 48MP GM1 na Sony 48MP IMX 586 hapo utaonaNote 8 pro ina 64mp, sensor yake ni nzuri zaidi compare na hizo za 48mp,