IPhone 13 camera hamna kitu

IPhone 13 camera hamna kitu

12 pro max
IMG_0649.jpg
 
Weekend iliyopita nilisafiri kwenda Bagamoyo tulikuwa na event ya kikazi kule.

Basi wakati michezo beach dada mmoja wakishua akaniachia simu yake nimshikie akaogelee ilikuwa ni iPhone 13 maarufu kama macho matatu.

Haikuwa na password so nikaenda kwenye camera nikiwa nimeshika simu mbili kwa pamoja yaani kulia macho3 kushoto macho2 ya Samsung Note8 nikawa napoint kwenye object 1, aisee Samsung note8 kampiga gepu mbaaali sana huyu iPhone 13.

Najua mtakuja kujitetea ila ukweli ndio huo. Huyu sister ni wakishua hasaa so msije na lame excuses kwamba ni copy maana licha ya kwamba ni wakishua kwao ila hata yeye na mumewe wako vema sana.

Anayebisha siku ajaribu kulinganisha halafu aje na mrejesho.

Majaribio yalifanyika mchana na jua linawaka.
Kumpambanisha iphone 13 na samsung Note 8 ni katika kuikosea sana iphone, Macho matatu inaanzia kwenye iphone 11 pro max, we ulijuaje kama hiyo ni 13 pro? Iphone 13 pro anapambanishwa na hili toleo jipya la samsung S22 ultra ambapo kiaina flan kwenye camera samsung S22 kamfunika tunda. Hiyo note 8 haitoboi hata kwa iphone 8+.
20220213_085809.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom