Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,466
- 203,068
MaskiiiiiiMpaka leo tarehe 15.02.2022 hakuna aliejitokeza kuleta picha ya iphone 13 basi humu JF hakuna mwenye hio simu...🤣🤣🤣🤣
Unateseka na vitu ambavyo hata havikupi ka per diem.. pole mwaya 🤣
MaskiiiiiiMpaka leo tarehe 15.02.2022 hakuna aliejitokeza kuleta picha ya iphone 13 basi humu JF hakuna mwenye hio simu...🤣🤣🤣🤣
Mpaka leo tarehe 15.02.2022 hakuna aliejitokeza kuleta picha ya iphone 13 basi humu JF hakuna mwenye hio simu...![]()
Maskiiiiii
Unateseka na vitu ambavyo hata havikupi ka per diem.. pole mwaya![]()
Mpaka leo tarehe 15.02.2022 hakuna aliejitokeza kuleta picha ya iphone 13 basi humu JF hakuna mwenye hio simu...![]()
Issue ilikua ni picha ila hapo juu kuna mdau amesema alishaweka ngoja tukaitazame...Kwani issue ilikua ni kupata mtu mwenye iphone 13 hapa JF au mimi ndio sielewi?
Tech za simu ni swala lipo wazi mchana kweupeee mkuu
Huitaji mtu mwenye Samsung utra 22 kupost picha yake hapa kuprove kwamba ni bora kuliko picha za Tecno cannon
Nete 8 vs iphone 13 pro(macho matatu) kwenye tech ya camera........ fanya home work hapo
Kwamba unahisi per diem ndo kila kitu...?Maskiiiiii
Unateseka na vitu ambavyo hata havikupi ka per diem.. pole mwaya 🤣
Kulinganisha picha lazima uwe na simu mbili na unapiga kitu kimoja huwezi kupiga picha na mimi nipige huku halafu tulinganishe, kwa sababu kila mtu yupo kwenye mazingira tofauti na mwanga tofautiKwani issue ilikua ni kupata mtu mwenye iphone 13 hapa JF au mimi ndio sielewi?
Tech za simu ni swala lipo wazi mchana kweupeee mkuu
Huitaji mtu mwenye Samsung utra 22 kupost picha yake hapa kuprove kwamba ni bora kuliko picha za Tecno cannon
Nete 8 vs iphone 13 pro(macho matatu) kwenye tech ya camera........ fanya home work hapo
Picha kali ni picha kali mzeee...Kulinganisha picha lazima uwe na simu mbili na unapiga kitu kimoja huwezi kupiga picha na mimi nipige huku halafu tulinganishe, kwa sababu kila mtu yupo kwenye mazingira tofauti na mwanga tofauti
Una umri gani mzee maana povu linavyokutoka kama umetukanwa haya post toune na utataminishaje kama ni za note8?Picha kali ni picha kali mzeee...
Hiyo note 8 yako with a stock camera app ni takataka.
Mimi nina picha nimepiga na Samsung s8 plus lakini kwa GCAM.
Ngoja nizitafute nizipost hapa.
Picha kali ni picha kali mzeee...
Hiyo note 8 yako with a stock camera app ni takataka.
Mimi nina picha nimepiga na Samsung s8 plus lakini kwa GCAM.
Ngoja nizitafute nizipost hapa.
Ishu siyo umri ila unachokitetea kinazidi kuexpose ushamba wako kwenye simu.Una umri gani mzee maana povu linavyokutoka kama umetukanwa haya post toune na utataminishaje kama ni za note8?
You see...
Kwahiyo flash haipo kwenye kamera, sasa naanza kukuona pimbi? halafu inaonekana kabisa we ni aidha muuza simu au dalali wa simu na simu mmiliki wa macho matatu maana ladha ya maneno yako imekaa kama mdalali wa simu kariakoo, wanaomiliki hizo simu huwa kidogo wapo decentYou see...
Unaleta picha uliyopiga na flash kwenye discussion ya camera nzuri.
Hebu piga picha usiku bila flash utuletee hapa kituko kitakachotokea.
Pimbi ni wewe ungeniuliza logic ya kupiga picha bila flash ningekueleza.Kwahiyo flash haipo kwenye kamera, sasa naanza kukuona pimbi? halafu inaonekana kabisa we ni aidha muuza simu au dalali wa simu na simu mmiliki wa macho matatu maana ladha ya maneno yako imekaa kama mdalali wa simu kariakoo
Hii picha nimepiga saivi na note8 tena ni counter ya ndani hebu piga na wewe na hio iPhonexView attachment 2114027
wekeni picha acheni ubishi,na mimi nitaweka ya mchina wangu,ya OPPO FIND X3 PRO...kama sijawatoa wote knockout,,,
View attachment 2114311
Halafu ni saa2 usiku na sikuwasha flashHalafu ndani
Clear Kama palivyo